Serikali yaitelekeza familia ya Nyerere

Serikali yaitelekeza familia ya Nyerere

Mimi nafikiri mama Maria Nyerere bado anapata marupurupu ya marehemu Mwalimu Nyerere kwa ajili yake yeye,lakini sidhani itakuwahaki pale kodi zetu zitumike kuwasaidia watoto wa Mwl Nyerere eti kwakuwababa yao alikuwa ni raisi sasa huo ni usultani,na Mwl Nyerere aliupinga usultani kwa nguvu zake zote,watoto wa Mwl Nyerere ni watu wazima hadi wana ujukuusasa nao mnataka wale,walale wavalishwe na serikali?ikumbukwe pia watoto wa Mwalimu ni wasomi,sasakama maisha yamewaendea kombo sio kosa la serikali ni lao binafsi,na mwisho ni tofauti nawatu mnavyowafikiria hao wana maisha yao hawana njaa kama tunavyojianimisha.Kuna wengine nilikuwa nawaona mitaa ya kwao pale Mikocheni kwa Mwalimu,lakini hayo tuyaache.
 
Mkwere anamchukia Mwalimu jamani...sijapata ona, yaani ana kisasi pasipo mfano. Shangaa mtu ni marehemu ila bado anamchukia. Inaonesha ni kwa jinsi gani alifurahia kifo cha Mwalimu.

We mchawi unatakaje awe anawabeba? Hebu punguzeni chuki zisizo na msingi kwa Raisi, nani asiyejua hao watoto waligoma hata kusoma tangu baba yao yupo hai!
 
Mkwere anamchukia Mwalimu jamani...sijapata ona, yaani ana kisasi pasipo mfano. Shangaa mtu ni marehemu ila bado anamchukia. Inaonesha ni kwa jinsi gani alifurahia kifo cha Mwalimu.
Eti mkwere! Huna adabu kabisa, huenda huna hata radhi za wazazi wako
 
Mbona Mtoto/watoto wa Ali Hassani Mwinyi wanajitegemea? Mbona watoto wa sokoine wanajitegemea? Mbona watoto wa Kawawa wanajitegemea? Kwanini mtoto/watoto wa Nyerere waishi kwa pesa za walipa kodi? Tangu lini Tanzania imekuwa "welfare state"? Kama baba yao hakuwandaa watoto wake waweze kujitegemea ilo ni kosa la baba yao. Hawana haki ya kula pesa za walipa kodi kwa sababu tuu baba yao alikuwa rais.
 
Wakuu nimesikitishwa sana baada ya kuona hii kitu sitaki kusema mengi

attachment.php

Jamani huyu jamaa ni mtu mzima, ibabidi ajitafutie riziki kana wewe unavyojitafutia, mambo yakubebwa kwa mzee kama huyu hayafai kabisa.
 
Kuna tatizo kubwa la kiitifaki katika nchi kwa sasa, itifaki kwa sasa inabei sio suala la kikatiba tena.

Ndugu yetu Andrew Nyerere hii ndio Tz aliyoipigania na kuifia Baba yako, na hawa ndio watawala aliowasomesha Mzee!
Wewe si ulishawahi kujifanya mtoto wa nyerere?wale walinzi pale msasani anawalipa nani?ukarabati wa nyumba ya msasani umefanywa na nani? Yule mlinzi wa maria anaetoka PSU analipwa na nani,ile ndege anayopelekewa maria apande peke akijiskia hamu ya kula vitumbua dar ni ya nani?achilia mbali 4x4 ya butiama na dar.acha kukurupuka dogo
 
Last edited by a moderator:
Ukisikia Rais wa nchi anasema "YALIO MKUTA JAJI WARIOBA NAOMBA YASINIKUTE" UJUE IKULU INA MHUNI WALA SI RAIS. IWEJE MHUNI WA UVCCM AMFANYIE FUJO WAZIRI MKUU MSTAAFU AFU RAIS WA NCHI ATOE KEJELI. Kijana huyo alipaswa kuitwa Marehemu hadi sasa.

Hilo sioni kama ni kosa la JK. Kama kweli Warioba alufanyiwa vurugu and ofcourse alifanyiwa maana hata Amiri Mkuu amekiri kwa kinywa kuwa naye anaogopa yasimtokee kama yale, hivyo badi, hapo wenye kosa ni wale watanzania laini laini waliohudhuria hilo kongamano pale ubungu plazza. Ndiyo kizazi cha Tablet na smart phone hiki, yutafanyaje sasa.
 
Eti mkwere! Huna adabu kabisa, huenda huna hata radhi za wazazi wako

wewe jinga kweli, mkwere ni tusi ama ni kabila lake? Kama hujui kitu uliza. Kama wewe ni msukuma nikikuita msukuma nimekukosea adabu? Akili ndogo kama funza.
 
Nimesikitishwa sana na mkuu Wabunge Njaa kwamba hakuna uhusiano kati ya maisha magumu ya MTU na serikali .kweli? rudi shule
 
Nimejikuta nacheka tu badala ya kusikitika.... haya bana
Tanzania hii maajabu hayaishi, ngoja yapite na jakaya tusubiri na mengine ya anaekuja

andika kiswahili tu mwehu wewe maana hata ulichoandika hukielewi.. Nyaaambaff unabisha nn wakati wassira alkuwepo huko majuzi tu. Eti unaijua familia ya nyerere unaijua we mkewe.? Mazakanywafanta wewe.
 
Mleta uzi mbona unaweka picha ya mtoto wa Mwl.alopatwa na tatizo la akili? Pia hata leo hii jitahidi baba yako awe rais alafu usijishughulishe uone kama utakula kodi zetu.
 
Hii ni familia ya kiongozi wetu mzalendo wa kweli baba wa taifa, napendekeza utafutwe utaratibu wa kuchangia kutunza familia baba wa taifa. Nyerere Foundation wanaweza simamia mfuko huu. Hii itakuwa njia mojawapo ya kuisaidia serikali ktk kutunza viongozi wetu. Nawakilisha. .....

Nyerere hana mtoto mdogo wa kutunza maruhuni nyie.Yaani mnataka serikali ianze kutunza watu wazima wenye familia zao wengine wakiwa wastaafu waliostaafu kazi na siasa waliochezea hela na wengine hadi kutelekeza familia zao?

Sheria hata za pension na mafao zaeleweka mwisho wa siku akifa mwenye pension haziendelei hadi kwa watoto watu wazima na wajukuu.
 
kwa hiyo unataka tuwatunze milele? kwani hii nchi ya kifalme? katiba inamtaja raisi atahudumiwa mpka kufa, sio na watoto wake. Watunzane wenyewe kama, wamshauri mama yao apangishe nyumba msasani ahamie bush, watapata hela ya kula tu.

Hivi tukiacha siasa tukajadili ubinadamu tu,kwamfano tuchukue baadhi ya familia kama ya Mandela,Kenyatta,Nanyine ziko kama hii ya muasisi wataifa hili?Uko hapo ulipo ukiayatoa hayo ulionayo kwasababu ya utashi wake,tunajivuna kutokua na ukabira kama nchi nyingine kwasababu ya utashi wake,nikuombe urudie kusoma ulichoandija alafu akae ukitafakari je kwamtu mwenye hekima nisahihi kufanya kamaulivyo fanya?
 
Serikali gani itaweza kulisha vizazi vyote vya marais hadi mwisho wa nyakati?
 
Kwani kuna sheria inayosema watoto wa Nyerere watalipwa posho au mshahara? Hiyo sio familia ya kifalme, hata ktk familia ya Kifalme sio Ajabu kukuta mmoja wao haeleweki.
 
Back
Top Bottom