Hapana, kitaaluma nimekuuliza hao wakubwa wa idara za mahakama na wizara ya sheria wanateuliwa na nani?Jibu lako limejikita katika siasa zaidi, sio kitaaluma.
acha ujinga wewe walimu,na wizara ya afya mbona awajalipwa miezi 3 ww chapa kaziSerikali iliwaajiri watumishi wapya wa mahakama mwaka jana baada ya mda iliwasimamisha kazi wamekaa mwaka mmoja nyumbani wamekuja kuitwa mwezi wa saba mwaka huu kurudi kazini cha lush an chakushangaza serikali imegoma kuwapa pesa za kujikimu na mshahara leo hii wana miezi miwili wapo vituo vya kazi lakini hawana mshahara wala pesa ya kujikimu na kazi wanafanya serikali acheni mateso ya namna hii kama hamtaki kuajiri semeni tu.
inauma sana aiseee kuwa omba omba huku unafanya kazi
Sent using Jamii Forums mobile app
nyie mumerudishwa july mnalalamika wenzenu afya wamerudishwa june wanachapa kazi bila salarySerikali iliwaajiri watumishi wapya wa mahakama mwaka jana baada ya mda iliwasimamisha kazi wamekaa mwaka mmoja nyumbani wamekuja kuitwa mwezi wa saba mwaka huu kurudi kazini cha lush an chakushangaza serikali imegoma kuwapa pesa za kujikimu na mshahara leo hii wana miezi miwili wapo vituo vya kazi lakini hawana mshahara wala pesa ya kujikimu na kazi wanafanya serikali acheni mateso ya namna hii kama hamtaki kuajiri semeni tu.
inauma sana aiseee kuwa omba omba huku unafanya kazi
Sent using Jamii Forums mobile app
Sure,kuna jama yangu analalamik kila siku!Kapangiwa mahakama ya mwanzo,hali imekuwa ngumu mpaka kakimbia kituo cha kazi karudi nyumbani mpaka mshahara utakapotoka!Serikali iliwaajiri watumishi wapya wa mahakama mwaka jana baada ya mda iliwasimamisha kazi wamekaa mwaka mmoja nyumbani wamekuja kuitwa mwezi wa saba mwaka huu kurudi kazini cha lush an chakushangaza serikali imegoma kuwapa pesa za kujikimu na mshahara leo hii wana miezi miwili wapo vituo vya kazi lakini hawana mshahara wala pesa ya kujikimu na kazi wanafanya serikali acheni mateso ya namna hii kama hamtaki kuajiri semeni tu.
inauma sana aiseee kuwa omba omba huku unafanya kazi
Sent using Jamii Forums mobile app
Utalipaje ada utaendeshaje maisha bila kuingiza kipato? Serikali inanunua mandege cash unashikia kikao kimoja watu wanapeana laki 4 kwa siku 45 bado unaongea ujinga hapa. Jaribu kidogo kuwaza kama binadamu usiwe kenge kiivyoSio dharau huo ni ushauri positive. Unafikiri kupayuka hapa ndio hela itakuja?
Sisi wengine mbona tulikaa miezi 4 bila pesa ila badae tukapewa? Watulie wachape kazi ili umuhimu wao uonekane....pia mbona hawatwamnii kama wameishafikisha malalamiko yao kwa wakubwa wao wa Mahakama?
iyo ni hali ya kawaida yupo jamaa ni mwalimu wizara ya afya wamerudishwa june hadi leo no salary analialia tuSure,kuna jama yangu analalamik kila siku!Kapangiwa mahakama ya mwanzo,hali imekuwa ngumu mpaka kakimbia kituo cha kazi karudi nyumbani mpaka mshahara utakapotoka!
Kwa hiyo kwa muda huu waishije?Hizo wanaweza kulipwa kama malimbikizo...so kwakuwa wapo kazini na wanatambulika wachape kazi.
Sent using Jamii Forums mobile app
ww utumishi utakushindwa nyie mmerudishwa july mupo zaidi ya 200 hadi mupewe check noSerikali iliwaajiri watumishi wapya wa mahakama mwaka jana baada ya mda iliwasimamisha kazi wamekaa mwaka mmoja nyumbani wamekuja kuitwa mwezi wa saba mwaka huu kurudi kazini cha lush an chakushangaza serikali imegoma kuwapa pesa za kujikimu na mshahara leo hii wana miezi miwili wapo vituo vya kazi lakini hawana mshahara wala pesa ya kujikimu na kazi wanafanya serikali acheni mateso ya namna hii kama hamtaki kuajiri semeni tu.
inauma sana aiseee kuwa omba omba huku unafanya kazi
Sent using Jamii Forums mobile app
warudi nyumbani utumishi kuna uzembeKwa hiyo kwa muda huu waishije?
Kwa nini wao wabebe uzembe wa watu wengine? SHIDA MNATETEA HATA VISIVYOTAKIWA KUTETEWA... Kama mtu kakosea, abebe yeye msalaba wa makosa yake...warudi nyumbani utumishi kuna uzembe
Wachape kazi huku wanakula nyumbani kwako? Vichwa tusifugie nywele jamaniHizo wanaweza kulipwa kama malimbikizo...so kwakuwa wapo kazini na wanatambulika wachape kazi.
Sent using Jamii Forums mobile app
ni kweli inauma maana hawa vijana walisimamishwa mwaka 1 sasa bado wanaumizwa wangepewa kipaumbele afya na mahakama waliosimamishwa mwaka 1Kwa niwao wabebe uzembe wa watu wengine? SHIDA MNATETEA HATA VISIVYOTAKIWA KUTETEWA... Kama mtu kakosea, abebe yeye msalaba wa makosa yake...
BTW, WHAT NEXT WAKISHARU KWAO? HAKI YAO INAKUWAJE?
Halafu KABISAA mnataka asiombe RUSHWA kwenye mazingira hayo ya mwaka mmoja bila mshahara, na serikali imegoma kuwapa mshahara...!!!!ni kweli inauma maana hawa vijana walisimamishwa mwaka 1 sasa bado wanaumizwa wangepewa kipaumbele afya na mahakama waliosimamishwa mwaka 1
Sio dharau huo ni ushauri positive. Unafikiri kupayuka hapa ndio hela itakuja?
Sisi wengine mbona tulikaa miezi 4 bila pesa ila badae tukapewa? Watulie wachape kazi ili umuhimu wao uonekane....pia mbona hawatwamnii kama wameishafikisha malalamiko yao kwa wakubwa wao wa Mahakama?
Miezi mi4 uliokuwa unalelewa na basha haijustify marijali kutopewa mshahara. Mshahara ni stahiki ya mtumishi, nao haupaswi kuchelewa.Sio dharau huo ni ushauri positive. Unafikiri kupayuka hapa ndio hela itakuja?
Sisi wengine mbona tulikaa miezi 4 bila pesa ila badae tukapewa? Watulie wachape kazi ili umuhimu wao uonekane....pia mbona hawatwamnii kama wameishafikisha malalamiko yao kwa wakubwa wao wa Mahakama?
Labda computer tunazozitumia Tanzania zilitengenezwa maalum kwa matumizi ya Tanzania tu kama jina kuingizwa kwenye payroll kunachukua miezi. Kwenye dunia ya leo kuingiza jina kwenye computer kunatakiwa kuchukua sekunde mbili hadi tani. Nilidhani Magufuli katurudisha karne ya kumi na tisa kisiasa tu kumbe hata katika maendeleo ya kijamii na kiuchumi.Ndugu, katika ajira za serikali ikiwa ni ajira ya kwanza ni kawaida kukaa miezi mitatu hadi minne bila kulipwa mshahara. Kuingiza watumishi kwenye pay roll ni hadi mchakato maalumu ufanyike. hata hivyo kuna haki ya kupewa posho au pesa ya kujikimu katika kipindi hicho cha mpito.
Hizi ajira za mahakama zilizositishwa na kurudishwa zimekaa kimaslahi flani. Ajira hizi zilitoka wakati ambao kuna baadhi ya mamlaka hazikuwa tayari au kuridhia kuajiri ajira mpya. Kwa maneno mengine Ajira hizi zilizua mtafaruku kati ya tume ya utumishi wa mahakama na idara zingine.
Kwa ushauri tafuteni haki yenu ya kupewa pesa ya kujikimu, mshahara utaingia tu baada ya kumaliza miezi yenu mitatu. Ukibidi tafuteni wawakilishi na mkaonene ma mtendaji mkuu wa mahakama.