comrade igwe
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 7,295
- 3,939
Huko Tanzania hakuna serikali sasa hivi. Kuna ujambazi uliohalalishwa unaitwa serikali tu.
Mkojo wako utakua wa njano sana maana unafikiri unajificha kumbe hovyo tu
Huko Tanzania hakuna serikali sasa hivi. Kuna ujambazi uliohalalishwa unaitwa serikali tu.
Cheque namba Utumishi wa UmmaSerikali iliwaajiri watumishi wapya wa mahakama mwaka jana baada ya mda iliwasimamisha kazi wamekaa mwaka mmoja nyumbani wamekuja kuitwa mwezi wa saba mwaka huu kurudi kazini cha lush an chakushangaza serikali imegoma kuwapa pesa za kujikimu na mshahara leo hii wana miezi miwili wapo vituo vya kazi lakini hawana mshahara wala pesa ya kujikimu na kazi wanafanya serikali acheni mateso ya namna hii kama hamtaki kuajiri semeni tu.
Inauma sana aiseee kuwa omba omba huku unafanya kazi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Cheque namba Utumishi wa UmmaQuuqMaaanna zako
Pogba wa tz nchi imekushinda!
Mkojo wangu ukitaka kuujua wa njano ama vipi nipe mama yako halafu mwambie afungue mdomo aninyonye dushe halafu nimkojolee mdomoni na kumpagolden shower.Mkojo wako utakua wa njano sana maana unafikiri unajificha kumbe hovyo tu
Tatizo mkuu wa kaya na kambi yake wanadhani wako perfect kwa kila kitu. kitu ambacho si kweli . Wanapaswa kushughulikia kero za wananchi ipasavyo kama hiziHapana, kitaaluma nimekuuliza hao wakubwa wa idara za mahakama na wizara ya sheria wanateuliwa na nani?
Hujanijibu, unakwepa kujibu kwa kisingizio kwamba jibu langu ni la kisiasa.
Kusingizia kwamba jibu langu ni la kisiasa zaidi ndiyo siasa yenyewe.
Rais Magufuli ni Mkuu wa Nchi. Kuna sababu yeye ni Mkuu wa Nchi.
Nyerere alisema kuwa rais wa nchi masikini ni mzigo mzito, unapita mabarabarani unaona watu masikini hawana nguo, wana njaa etc, unaona mzigo wako huo.
Huyu rais alijua wajibu wake kama Mkuu wa Nchi. Yeye ndiye mtu mmoja mwenye wajibu mkubwa kuliko yeyote kuhusiana na kinachotokea Tanzania. Sio serikalini, nchini.
Sasa leo wewe utawezaje kusema Magufuli hahusiki wafanyakazi wa serikali wakikosa mishahara?
Kama kuna watu wanaharibu kazi idara ya Mahakama mnyororo wa uwajibikaji unaishia wapi?
Magufuli anayejifanya anajua sana kutumbua majipu kamfukuza nani kazi kwa uzembe huu? Amefnya nini kuondoa tatizo hili?
Tatizo mkuu wa kaya na kambi yake wanadhani wako perfect kwa kila kitu. kitu ambacho si kweli . Wanapaswa kushughulikia kero za wananchi ipasavyo kama hizi
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni shetani?Hizo wanaweza kulipwa kama malimbikizo...so kwakuwa wapo kazini na wanatambulika wachape kazi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Alafu waje kula kwako?Hizo wanaweza kulipwa kama malimbikizo...so kwakuwa wapo kazini na wanatambulika wachape kazi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu tutegemee ufanisi katika mahakama zetu bila salary.Serikali iliwaajiri watumishi wapya wa mahakama mwaka jana baada ya mda iliwasimamisha kazi wamekaa mwaka mmoja nyumbani wamekuja kuitwa mwezi wa saba mwaka huu kurudi kazini cha lush an chakushangaza serikali imegoma kuwapa pesa za kujikimu na mshahara leo hii wana miezi miwili wapo vituo vya kazi lakini hawana mshahara wala pesa ya kujikimu na kazi wanafanya serikali acheni mateso ya namna hii kama hamtaki kuajiri semeni tu.
Inauma sana aiseee kuwa omba omba huku unafanya kazi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Shetani ni mmoja tu Mkuu....usitake kumnyang'anya sifa yake.Wewe ni shetani?
Mvumilivu hula mbivu mkuu...sikuwa na nia mbaya.Alafu waje kula kwako?
Nyie Watetezi wa watesi hawa mu wapumbavu sijapata ona!!!!!!!!Sio dharau huo ni ushauri positive. Unafikiri kupayuka hapa ndio hela itakuja?
Sisi wengine mbona tulikaa miezi 4 bila pesa ila badae tukapewa? Watulie wachape kazi ili umuhimu wao uonekane....pia mbona hawatwambii kama wameishafikisha malalamiko yao kwa wakubwa wao wa Mahakama?
Hahahahahah hii kauli nikiiwaza kwa tone ya mkulu ni vioja sana. Uchape kazi na njaa kaliHizo wanaweza kulipwa kama malimbikizo...so kwakuwa wapo kazini na wanatambulika wachape kazi.
Sent using Jamii Forums mobile app