Toxic Concotion
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 5,783
- 21,019
Wamefanya la maana. ilikuwa ni kero tu,. VIpindi vyote hakuna la maana unalosikia zaidi ya kuhamasisha wizi wa buku buku za watu.
Na walivyo wajinga kwa pesa zote wanazovuna wanashindwa hata kutafuta waigizaji wa maana. Maana unampigia mtu simu kumwambia kashinda Mil 5 lakini hakuna hata excitement kwenye sauti, ni kama vile alitarajia.