Serikali yafungia Mchongo pesa na Chota mihela

Mukuu123

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2019
Posts
319
Reaction score
1,227
Kongole Kwa serikali yetu Kwa kufungia michezo hii ya kamari redio Kwa maana ilikua Na adhari kubwa Kwa vijana yani unakuta mtu hujala Na huna kitu unasikia mtu kashinda million 5 hii inaharibu psychological Kwa sisi wanyonge.

Yaani mtu unadaiwa kodi afu mfukoni hata mia huna ghafla unaskia mtu kashinda gari kwa kweli hii inaweza kusababisha pressure Na kisukari Kwa sisi wasaka tonge hongera mama Kwa kuupiga mwingi
 
Kongole Kwa serikali yetu Kwa kufungia michezo hii ya kamari redio Kwa maana ilikua Na adhari kubwa Kwa vijana yani unakuta mtu hujala Na huna kitu unasikia mtu kashinda million 5 hii inaharibu psychological Kwa sisi wanyonge,yani mtu unadaiwa kodi afu mfukoni hata mia huna ghafla unaskia mtu kashinda gari kwa kweli hii inaweza kusababisha pressure Na kisukari Kwa sisi wasaka tonge hongera mama Kwa kuupiga mwingi
We ni mtu wa ajabu kweli, mi nilidhani unashukuru kwa serikali kunusuru watu kuliwa buku buku zao bila mafanikio kwa muda mrefu!!
 
Halafu na watangazaji walivyokuwa wanapayuka sasa. Domo halikuwa na breki yaani mpaka kero.
 
Chota mihela na mchongo Pesa, yote ni uhuni tu wa kuibia raia.

Alaf Wala usishtuke kufungiwa, watarudi kwa njia nyingine, kabla ya haya majina ya sasa zamani walikuwa tatu mzuka, moja special na Biko, zilivyopigwa chini ndo zikaibuka kwa majina ya chota mihela na mchongo Pesa. Ni swala la muda
 
Watabadili methods tu na jina ila watakuja kivingine kupiga mihela Mapopoma hawaishagi.
 
We ni mtu wa ajabu kweli, mi nilidhani unashukuru kwa serikali kunusuru watu kuliwa buku buku zao bila mafanikio kwa muda mrefu!!
Kila mmoja anashukuru kivyake..

wewe shukuru vijana wanaokolewa, sisi tunashukuru kwa nn mtu ashinde IST kwa buku wakati Mimi nimebanwa kwenye daladala la mbagala-gongolamboto
 
Back
Top Bottom