Yani mtu dakika kumi anaongelea mchongo pesa. Wakat mwingine unaamua kuzima radio mana ni ujinga tu.Halafu na watangazaji walivyokuwa wanapayuka sasa. Domo halikuwa na breki yaani mpaka kero.
Yaaani nilikuwa nashangaa kinachoendelea redioni. Serikqli imefanya vema. Watu walikuwa wanaliwa sana.Ilikuwa dili kwa watu wa radio maana wao kuanzia asubuhi mpaka kesho
Yake ni kamali tu
Ova
Yap hata mimi nimewaskiaHaijafungiwa bado ipo sports clouds nawasikia
Ha haha haaaaaaa hahahaha haaaaaaa haaaaaaaaaaa.....,Kama juzi wasafi Tv mtu kashinda IST harafu kanuna balaa kweli million 14 unune