hali ni mbayaa sana
Kwa kweli nawahurumia sana, sijui kwanini serikali hii haina huruma na watoto wa wanyonge inawatesa kiasi hicho.Hawa bodi (heslb) wana tupa wakati mgumu sana..
Hakika namba tuna isomaa
Zile ni ngonjera mkuu.Kivipi?
Mbona TRA mwezi huu wamevunja rekodi ya ukusanyaji kodi au...?
Hali ni mbaya kuna chuo kimoja wanafunzi wamefukuzwa kwenye vyumba walivyopangaSasa hao mafinalists wanaoondoka si wanaacha madeni kwa mama ntilie.....
Pesq za kukopeshwa kama unapewa bure bwana.....udsm walianzishaanzisha kamgomo na raisi alikua abakuja wikii hiyo ndio wakazitoa....wanawanyanyasa sana!Hali ni mbaya kuna chuo kimoja wanafunzi wamefukuzwa kwenye vyumba walivyopanga
Halafu huu mtindo wa kutupiana lawama kwa kila anayeguswa na matatizo yanawasababishwa na serikali kwamba waendelee kuteseka kwa sababu walishabikia chama tawala wala hauwezi ufikisha upinzani popote pale. Maana kila anayekumbwa na tatizo awamu hii mnasema "wacha waisome namba" ina maana upinzani hakuna aliyeshabikia ambaye matatizo hayamkumbi. Acheni hizo bhana.Acha waisome namba, si hao ndio walikuwa wanamshabikia huyu anayependa sifa?
Zile ni ngonjera mkuu.
wamfikishie taarifa watumbuliwe hadharani? mwe!Hakika wanatusomesha namba. Yaani sasa wanatutesa kupita kiasi. Ukiwauliza wanasema hela hawana kwamba hawajapewa na hazina lakini wakiulizwa wanakana kwamba taarifa za kwamba bodi haina fedha ni za Uongo. Sasa tunashindwa kuelewa jibu moja ni lipi!
Enyi vibaraka wa Mkuu wa Kaya mfikishieni taarifa Mkuu muambueni wanafunzi tunateseka na hakika kilio chetu hakitamuacha hivihivi.
Mkuu anapenda sifa sana. Atafanya chochote apigiwe makofi na wanafunzi.wamfikishie taarifa watumbuliwe hadharani? mwe!