Serikali yaendelea kuwasomesha namba wanafunzi wa vyuo vikuu.

Serikali yaendelea kuwasomesha namba wanafunzi wa vyuo vikuu.

Hivi UDSM nao ni miongoni mwa wanaozisubiri hizo hela? Nilimkopesha hela dada mmoja, sasa nashindwa hata kuanza kumdai kwa kuwa naona yupo kimya. Sasa sijui anaubiri hilo boom au ndio namna
 
Hivi UDSM nao ni miongoni mwa wanaozisubiri hizo hela? Nilimkopesha hela dada mmoja, sasa nashindwa hata kuanza kumdai kwa kuwa naona yupo kimya. Sasa sijui anaubiri hilo boom au ndio namna
Washapataga kitambo Sana. Huyo ashalimaliza kabisa. Msuburie hela ya field atakulipa tu ndugu.
 
Washapataga kitambo Sana. Huyo ashalimaliza kabisa. Msuburie hela ya field atakulipa tu ndugu.
Daah, ngoja niisome kimya kimya. Mtu mwenyewe mzuri, hata namna ya kuanza kudai ni shida
 
Bugando,Udom,st Joseph_DSM,TIA wote hawa hawajapata na sijui watatupa pesa lini?.

Hakika nawachukia hawa magamba.
 
Hivi makusanyo ya mwezi huwa yanaenda kufanya kitu gani?
Hakuna barabara mpya inayojengwa
Hakuna ajira mpya zaidi ya hawa wakurugenzi
 
Helsb achen kukaa hapo maofisini njoo huku site mchukue hela yenu m nimefungua genge huku tandale kwa tumbo mkinisubr nipate kazi ya ofsin hili mkusanye ambayo haina jasho mtasubr sana

Msisahau kuja na safety boot
 
Aiseee wakikudaka atuna ela ya dhamana wenzio Shauri yako
Hahahahaha! Utakuja kunifata tu mama. Najua hutapata usingizi siku zote ntakazokuwa mahabusu
 
Back
Top Bottom