Serikali yaendelea kuwasomesha namba wanafunzi wa vyuo vikuu.

masikini 'UDOM8002 BOMB' hawa ndo wameishachinjiwa baharini. Ukiondoa Rais, kuna viongozi wengine ni MADOCTITAR...........UCHARWA
 
Hapo magufuli kawaziba midomo wasidai wala kuuliza
0ba83d20533cda9b8a8267786361af0e.jpg
 
Halafu huu mtindo wa kutupiana lawama kwa kila anayeguswa na matatizo yanawasababishwa na serikali kwamba waendelee kuteseka kwa sababu walishabikia chama tawala wala hauwezi ufikisha upinzani popote pale. Maana kila anayekumbwa na tatizo awamu hii mnasema "wacha waisome namba" ina maana upinzani hakuna aliyeshabikia ambaye matatizo hayamkumbi. Acheni hizo bhana.
Ni bora wapinzani
 
Ni bora wapinzani wanaisoma namba na hawakutoa kura, kuliko anayeusoma namba na aliwapa kura akijua kuwa kapata kiongozi kumbe kapatikana.
 
Naona wakati huu ni wakuisoma namba hata ukiwa umbali wa kilometres 100
 
Back
Top Bottom