Mkuu acha kabisa, jiji kama dar mtu anapakia vitoto vinne hata kujishikilia vizuri haviwezi.Unakuta bodaboda asbhi amepakia watoto wa 4 na wote chini ya miaka mi5 alafu anawapeleka mbio balaa yaani nikionaga vile mwili unanisisimka Kwa hofu
Hivyo vinyumba siku hizi ndo hizi baby care, kila uchochoro zipo.Kuna vitu serikali iliwadaganya watu riziki popote, kumbe wanaenda kuua kizazi Chao. Sasa uko mashuleni watoto wanapata magonjwa coz wanarudikwa wengi kwenye ki chumba kidogo kwa kukosa hewa safi, kulishwa vyakula vya hovyo, unyanyasaji wa kingono.
Kila kitu kinaenda na utaratibu wake, tu kiacha kila mtu afanye anayotaka kisa anatafuta riski, tutatengeneza kizazi cha hovyo.
Zanzibar wanajifanya wanadini kumbe ziroooooo ,kifupi dini ni chakaaaaa la kujifichiaaaa
Sasa mtoto wa chekechea una mfundishaje online, ?Karne hii watu bado wanawaza elimu kutolewa kwenye majengo ? Kukusanya watu uwaelimishe ni mtindo unaenda kupitwa na wakati.Teknolojia inawezesha elimu unaipata popote. Huu ndio mda wa kutunga sera za HOME SCHOOLING.
Waafrika ndio kundi linaloenda kizamani zamani. Conservative people.
L
Sasa mtoto wa chekechea una mfundishaje online, ?
Soma comment vuzuri. Unaelewa neno "HOME SCHOOLING" ? .L
Sasa mtoto wa chekechea una mfundishaje online, ?
Haha nimesoma , ?Soma comment vuzuri. Unaelewa neno "HOME SCHOOLING" ? .