Serikali ya wanyonge

Hyo sio ww tu,mm nakutana na picha kwa kila uzi naokutana nao huku
 
Hakuna nayejua ilipo hiyo shule!!! Ninamashaka siyo Tanzania maana ingekuwa hapa kwetu mngeshatuma mpaka picha Za majengo yake
 
Tatizo Mabeberu ndiyo wanatukwamisha,tupo vizuri.

Tunataka na sisi tuanze kutoa misaada nchi za nje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…