Tafuta definition ya serikaliLakini unajua maana ya "serikali ya wanyonge"??
Maana yake ni jinsi maneno yenyewe yanavyojieleza kwamba serikali inayoendeshwa na wanyonge, viongozi wa serikali ndio wanyonge au serikali yao ndio nyonge, sasa msishangae kuona hiyo hali.
Ingekuwa -"serikali kwa ajili ya wanyonge", hapo tungejenga hoja.
2019Hii picha ya mwaka gani????
Wewe unachekesha kweli, uache kusaidia famiia yako uende kusaidia wapiga kura wa CCM, waache tu mpaka watakapopata akili ya kujua CCM ni kichaka cha uovu
Aise. .huruma sana
Sina familia, iko wapi hio shule?Wewe unachekesha kweli, uache kusaidia famiia yako uende kusaidia wapiga kura wa CCM, waache tu mpaka watakapopata akili ya kujua CCM ni kichaka cha uovu
Zipo shule nyingi za aina hiyo huko vijijini we tembea tuDina familia, iko wapi hio shule?
Kama huna jibu kaa kimya. Iko wapi hii shule?Zipo shule nyingi za aina hiyo huko vijijini we tembea tu
Sina jibu inalotaka ila nina ukweli tuKama huna jibu kaa kimya. Iko wapi hii shule?
Abroad Mkuu, then yanarud Africa kama furniture [emoji4]
Huwa wapo sahihi wanavyojiita serekali ya wanyonge, Kwan wanaongoza wanyonge
Tafuta definition ya serikali
please consult Ras SimbaDefinition ya "serikali ya wanyonge" == a weak government.
Inawezekana ni sudan au somalia au kongo nini?Mleta mada ungetuonyesha na jengo la darasa hilo!