Mokaze
JF-Expert Member
- Aug 3, 2018
- 14,370
- 14,956
please consult Ras Simba
A government which is run by weak leaders. Serikali ya wanyonge.
A government for the weak people= serikali kwa ajili ya wanyonge.
Got the point ??.
please consult Ras Simba
What is government??A government which is run by weak leaders. Serikali ya wanyonge.
A government for the weak people= serikali kwa ajili ya wanyonge.
Got the point ??.
Picha ya nwaka gani kwani?
23.06.2019Picha ya nwaka gani kwani?
Wapi huko?23.06.2019
ChatoWapi huko?
Hyo sio ww tu,mm nakutana na picha kwa kila uzi naokutana nao hukuView attachment 1136976
wenzangu JF naomba kuuliza
kila uzi picha inayoonekana kwangu
ni ya hii gari
Je ni kwangu tu ama hata nyie
Kibaya zaidi nikifungua huo uzi ili nisome kwamba nitakutana na picha yenye hii gari
HOLLA
Hakuna picha
Mfano huu uzi una picha ya watoto wapo shule but nimeiona baada ya kufungua uzi ila kwa juu picha pekee ya uzi inayoonekana ni hii ya gari
sasa unajiuliza heading na hii picha
But ukifungua ndiyo utakuta picha mtu aliyoweka ktk uzi husika
Je ni kwangu au kuna wengine pia wanapata hii shida?
Hii gari inahusu nini hasa?
Sorry nimeuliza hapa baada ya kuona ni picha pekee ktk huu uzi inayoonekana
But nimefungua uzi nisome
sijakutana na hii picha!
lazima hapo kuanzia mwenyekiti hadi mbunge ni toka chama pendwa... ndiyooooView attachment 1136885
Maendeleo hayana chama
Subiri tumalize miradi mikubwa