Serikali ya Tanzania yatoa ufafanuzi kuhusu uvaaji wa barakoa

Nadhani ni msukuma
Hivi ni kwanini serikali inatumia nguvu nyingi mno mno kutaka kuonyesha hakuna corona? Corona imeenea duniani kote lakini wao hawataki kabisa watu hata kutaja tu jina. Magufuli ana nini? Anaongoza kwa kutumia unabii wa Gwajima? Cha ajabu na wasomi wengi wameamua kujitoa ufahamu kama yeye. Maprofesa wanazungumza pumba kabisa ili waonekane hawako against Magufuli. Sijawahi kuona nchi ya namna hii. Ila na sisi watanzania tumezidisha woga. Unakuta mtu anafiwa na ndugu kwa corona lakini anaogopa kusema. Nchi sasa inalazimishwa kufiri kwa kutumia akli za mtu mmoja asiye na elimu ya kutosha
 
Hii korona ya ajabu ajabu iliyoletwa na wale waliokwenda kuchanjwa ng'ambo na yenyewe imepotea kiajabu ajabu!? ama...
 
Shame on you so called Permanent Secretary! Daktari mzima (sijui cheti cha kutoka chuo gani?) unatupa sayansi yote uliyofundishwa (au cheti feki?) kumlinda bosi bwege! Shame!
 
Back
Top Bottom