Serikali ya Tanzania wachukue mbinu za Dr Slaa, Saruji ishuke bei | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Serikali ya Tanzania wachukue mbinu za Dr Slaa, Saruji ishuke bei

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ritz, Sep 29, 2011.

 1. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #1
  Sep 29, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Wana JF.
  Wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Urais Wabunge na Madiwani.

  Kwenye kampeni za urais tumlisikia mgombea wa CDM Dr. Slaa kwenye kunadi sera zake kwa wananchi, alitembea kila mkoa.

  Alisema kama wananchi wa Tanzania wakimchagua kuwa rais wao, Mfuko wa Saruji mmoja utauzwa SH 5000.
  Kwa nini serikali ya Tanzania wasiongee na Dr.Slaa ili Watanzania tuweze kununua Saruji kwa bei ya 5000 kwa mfuko.
  Mungu Ibariki Tanzania yetu
   
 2. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #2
  Sep 29, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Mimi nadhani asichukue jambo hilo tu bali hata jinsi umeme ambavyo ungekuwa historia, kupinga malipo ya Downs.
   
 3. mysteryman

  mysteryman JF-Expert Member

  #3
  Sep 29, 2011
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 986
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Thubutuuu...serikali ya ****** huyu huyu..!
   
 4. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #4
  Sep 29, 2011
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,101
  Likes Received: 4,056
  Trophy Points: 280
  unaanza kupata akili enhee, vizuri ushakalia ubapa wa ukali wa maisha subiri mpk 2015 upate nafasi ya kupambanua pumba na mchele
   
 5. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #5
  Sep 29, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Hilo ni changa la macho tu, indirect hiyo ni kejeli.
   
 6. m

  mmaroroi JF-Expert Member

  #6
  Sep 29, 2011
  Joined: May 8, 2008
  Messages: 2,536
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Acha utani mshauri JK kama atasikia afuate ushauri huo.
   
 7. K

  Kima mdogo JF-Expert Member

  #7
  Sep 29, 2011
  Joined: Sep 17, 2011
  Messages: 303
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mbinu bora kuliko zote ni kuacha kujigawia na kugawa rasilimali za umma
   
 8. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #8
  Sep 29, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Kama Dr Slaa, atatoa hiyo mbinu kwa serikali ya Tanzania na imani, Watanzania wengi wa kipato cha chini wataweza kujenga nyumba za kisasa, kutoka kwenye nyumba za tembe
   
 9. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #9
  Sep 29, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,973
  Likes Received: 2,967
  Trophy Points: 280
  japo mimi ni mwanachama ila hili siliafiki. Sidhani kama kuna mazingira ya kuuza huo mfuko kwa bei hiyo. Hata serikali ikizalisha cement yenyewe, bado ni vigumu. Kushuka kwa shilingi kunatuathiri sana.
   
 10. Kijuche

  Kijuche JF-Expert Member

  #10
  Sep 30, 2011
  Joined: Aug 26, 2010
  Messages: 419
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Naunga hoja yako mkuu lakini tatizo la nchi yetu ni kwamba serikali iliyopo madarakani ipo interested kupokea ushauri/mbinu zitakazoiwezesha kuendelea kubaki marakani lakini sio mbinu za kuliendeleza taifa.
   
Loading...