Serikali ya Tanzania wachukue mbinu za Dr Slaa, Saruji ishuke bei

Ritz

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
46,845
32,200
Wana JF.
Wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Urais Wabunge na Madiwani.

Kwenye kampeni za urais tumlisikia mgombea wa CDM Dr. Slaa kwenye kunadi sera zake kwa wananchi, alitembea kila mkoa.

Alisema kama wananchi wa Tanzania wakimchagua kuwa rais wao, Mfuko wa Saruji mmoja utauzwa SH 5000.
Kwa nini serikali ya Tanzania wasiongee na Dr.Slaa ili Watanzania tuweze kununua Saruji kwa bei ya 5000 kwa mfuko.
Mungu Ibariki Tanzania yetu
 
Mimi nadhani asichukue jambo hilo tu bali hata jinsi umeme ambavyo ungekuwa historia, kupinga malipo ya Downs.
 
Wana JF.
Wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Urais Wabunge na Madiwani.

Kwenye kampeni za urais tumlisikia mgombea wa CDM Dr. Slaa kwenye kunadi sera zake kwa wananchi, alitembea kila mkoa.

Alisema kama wananchi wa Tanzania wakimchagua kuwa rais wao, Mfuko wa Saruji mmoja utauzwa SH 5000.
Kwa nini serikali ya Tanzania wasiongee na Dr.Slaa ili Watanzania tuweze kununua Saruji kwa bei ya 5000 kwa mfuko.
Mungu Ibariki Tanzania yetu
unaanza kupata akili enhee, vizuri ushakalia ubapa wa ukali wa maisha subiri mpk 2015 upate nafasi ya kupambanua pumba na mchele
 
Kama Dr Slaa, atatoa hiyo mbinu kwa serikali ya Tanzania na imani, Watanzania wengi wa kipato cha chini wataweza kujenga nyumba za kisasa, kutoka kwenye nyumba za tembe
 
Kama Dr Slaa, atatoa hiyo mbinu kwa serikali ya Tanzania na imani, Watanzania wengi wa kipato cha chini wataweza kujenga nyumba za kisasa, kutoka kwenye nyumba za tembe

japo mimi ni mwanachama ila hili siliafiki. Sidhani kama kuna mazingira ya kuuza huo mfuko kwa bei hiyo. Hata serikali ikizalisha cement yenyewe, bado ni vigumu. Kushuka kwa shilingi kunatuathiri sana.
 
Naunga hoja yako mkuu lakini tatizo la nchi yetu ni kwamba serikali iliyopo madarakani ipo interested kupokea ushauri/mbinu zitakazoiwezesha kuendelea kubaki marakani lakini sio mbinu za kuliendeleza taifa.
 
Back
Top Bottom