Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 46,899
- 32,310
Wana JF.
Wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Urais Wabunge na Madiwani.
Kwenye kampeni za urais tumlisikia mgombea wa CDM Dr. Slaa kwenye kunadi sera zake kwa wananchi, alitembea kila mkoa.
Alisema kama wananchi wa Tanzania wakimchagua kuwa rais wao, Mfuko wa Saruji mmoja utauzwa SH 5000.
Kwa nini serikali ya Tanzania wasiongee na Dr.Slaa ili Watanzania tuweze kununua Saruji kwa bei ya 5000 kwa mfuko.
Mungu Ibariki Tanzania yetu