Serikali ya Tanzania haiko serious na coronavirus

Serikali ya Tanzania haiko serious na coronavirus

Tatizo ni kuruhusu watu kutoka nchi vonulable na kujitetea wanapima wote bila kujua vipimo au ugonjwa unavyofanya kazi

Sent using Jamii Forums mobile app

Of course huo ni ujinga, ila tatizo hilo liinachangiwa na umasikini, nchi hela yake nyingi inategemea hao wageni, tukipiga stop hela itakayopotea watakufa wengi kwa njaa kuliiko hata ambavyo corona itawaua, haha ukweli mchungu ila ni ukweli.
Sasa hivi nchi karibia zote hizo wamefunga raia wao wasitoke nje so angalau wametusaidia maana tumeshinwa kuwapiga stop wasije.
 
Maabara ya vipimo ni moja nchi nzima hizo kesi zikifika 10000 au wakitakiwa kufanya vipimo 1000 kila siku si mambo yataanza kwenda out of control hiyo lead time na capacity za maabara moja zikoje kwa vipimo vya siku.

Ndio yaleyale kama mipango ya kupata vitambulisho vya NIDA hakuna capacity planning before you know everything is stuck at the bottleneck.

Huku nako waziri wa afya anawaambia watu sanitizers sio lazima ata sabuni inatosha huko bararani kuna mabomba ya maji kila sehemu au hata ni practical kutembea na sabuni in the first place halafu unawaambia watu waoshe mikono kila mara.

Tumuweke mungu mbele tu kwenye hiki kipindi before the entire Tanzania health system is overwhelmed.
 
Of course huo ni ujinga, ila tatizo hilo liinachangiwa na umasikini, nchi hela yake nyingi inategemea hao wageni, tukipiga stop hela itakayopotea watakufa wengi kwa njaa kuliiko hata ambavyo corona itawaua, haha ukweli mchungu ila ni ukweli.
Sasa hivi nchi karibia zote hizo wamefunga raia wao wasitoke nje so angalau wametusaidia maana tumeshinwa kuwapiga stop wasije.
Acha Dharau ...njaa gani itatua sisi ni Donar Country kwa mujibu wa Mh.Rais!
 
Acha Dharau ...njaa gani itatua sisi ni Donar Country kwa mujibu wa Mh.Rais!
Tanzania njaa kubwa tu hilo halifichiki, huo u donor anao ndotoni mwake tu, tungekua donor tusingekaa tunatangaza kila msaada na mikopo tunayopewa kila siku kusaidia miundombinu nchini. Bongo maskini wengi hadi huruma
 
Sisi waafrika (watanzania) umaskini wetu unaanza na lile wazo kwamba serikali inafanya kila kitu kwa ajili yetu kwa kigezo kuwa sisi tumeiweka madarakani na tunalipa kodi.

Mawazo haya ya kimaskini tumekuwa nayo kwa miaka mingi. Kama China wangekuwa na mawazo haya duni wasingejenga zile hospitali ndani ya siku chache tu wangekimbilia kusikiliza hoja za kipuuzi kwamba serikali itajenga.

Mungu kapishia mbali, corona ingeanzia Afrika (Tanzania) tungekufa wengi sana kwa kusikiliza hoja za kipuuzi za kisiasa badala ya kupambana na adui kwa ukubwa alionao.
 
Ndio siasa zetu hizo mkuu yani unakuta kwenye kampeni mbunge anaeleza atafanya hivi mara atafanya vile,halafu akichaguliwa unaona kimya ahadi hazitekelezi ukiuliza unajibiwa kuwa serikali haijatoa hela na kazi ya mbunge ni kushauri serikali.
 
Siku kadhaa zilizopita kirusi corona kimeingia nchini kwetu kwa uzembe wa kutokufunga viwanja vyetu na hata waziri kutokutoa tamko la kuwaweka karantini ya siku 14 wageni wote wanaokuja kwa gharama zao.

Uganda wamejizatiti sana kujikinga lakini kwetu Tz waziri hataki kuwaweka karantini wageni hao ilihali ndio walioleta na ndio wanaoleta gonjwa la Corona.

Mhe.Rais mfute kazi waziri wa afya maana viatu vimempwaya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom