Serikali ya Tanzania haiko serious na coronavirus

Serikali ya Tanzania haiko serious na coronavirus

Haya ndio majibu ya mtu ambaye hawez kufikir yaan vuvuzera.Just get lost
Mavuvuzela ni nyinyi wenye akili ya kila kitu kulaumu serikali, mnashindwa kufikiria ukweli kwamba serikali zina mipaka yake kwani zinayo majukumu mengi makubwa. Unapojenga utamaduni wa lawama kwa kila kitu unapoteza hata akili ya kawaida tu ya kuwa mbunifu.

Kuna kipindi inabidi ujivue joho la lawama na kuitazama dunia halisi. Wanashindwa Waingereza waliotutawala mpaka wameamua kufunga shule zao zote kuanzia ijumaa sembuse wizara yetu ya afya!.

Kina Trump wanakubali kuwa corona ni janga zito imebidi wajipande upya kabisa, sembuse wizara yetu ya afya!.
 
Acha utetez wa utetez wa kipumbavu,huduma za afya ni wajibu wa serikali.Serikali haijawa sereous kwenye hili suala mathalan ugonjwa unatoka nje hakuna tahadhali yoyote kwenye mipaka wala wala viwanja vya ndege.Hatuna maana shughuri zisimame kwa sababu maisha yaendelee kwa serikali na kwa wananchi.Tungechukulia hili jambo km dharura ikiwa ni pamoja na kuinvest medical checkup kwenye maeneo ya mipakani,ili kudhibiti maambukiz kwa raia wengine.Wakati mataifa makubwa yanahangaika kudhibiti ingetupa somo la kufanya maandalizi,sisi na akina polepole dwarf wa mwili na akili tunapambana kuhakikisha viongozi wa CDM wanafungwa au wanakomeshwa kwa adhabu kubwa ikiwemo kuwavunja mikono.Hakuna namna serikali inaweza kukwepa lawama,ebu fikiria wamesshindwa kudhibiti hata upandaji wa vitu kama sanitizers,wapo busy kutaja idadi ya wagonjwa.
Upewe maandalizi wakati unaelewa dunia inakwendaje?, huoni kama haya maneno yako yanatoa picha ya mtu aliyebweteka asiyejiongeza kwa kila analolifanya?.

TV na Radio kila siku zinatoa taarifa kuhusu ugonjwa, unataka lipite gari mtaani lenye kipaza sauti likielezea corona ni nini na madhara yake ni yapi?.

Tafadhali mkuu mitigator, kujiongeza ni jambo muhimu maishani.
 
Some of us have grown wide mouthes due to constant grumbling.
My view is that prior to any criticism, one has to do a bit of analysis over the issue prior to negative criticism.
I happened to have attended a session where an update was given on government preparedness on prevention measures taken on Covid-19 and the following was reported [some of us have even visited some of the fronline areas];
  1. Primary and Secondary screening is done to all arriving passengers to all entry and exit points
  2. Interviews being held for suspect passengers
  3. Health education for all travellers and the general public
  4. Follow-up on all suspect cases
  5. Introduction of Mobile testing facilities to cover most of the country
  6. Introduction of Isolation Centers throughout the country
  7. General sensitization and Personal Protection measure being educated throughout the country
  8. Enforcement in wearing of PPE for all personnel working in international airports and entry/exit border points
  9. A toll-free phone number provided to the general public to call in whenever there is a suspected case;
It is very sad to find a person who is just ranting around complaining over the issue that he has not done any research on.
You are simply asystem benefiary. Too many paperwork, zero implementation. Dar commuter transport is just a case to prove how less you have prepared to face the covid-19.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upewe maandalizi wakati unaelewa dunia inakwendaje?, huoni kama haya maneno yako yanatoa picha ya mtu aliyebweteka asiyejiongeza kwa kila analolifanya?.

TV na Radio kila siku zinatoa taarifa kuhusu ugonjwa, unataka lipite gari mtaani lenye kipaza sauti likielezea corona ni nini na madhara yake ni yapi?.

Tafadhali mkuu mitigator, kujiongeza ni jambo muhimu maishani.
Huna akili ni poyoyo yaan huwez kutofautisha wajibu wa serkali na mtu mmoja mmoja,hivi unajua social responsibility ya serikal?Inaweza ikawa swali gumu kwako,hivi unajua namna ugonjwa unavyoingia nchini na mtu mmoja mmoja anawezaje kuuzia bila mkono wa serikali mipakani na uwanja wa ndege? Kweli nimeamini utafiti wa TWAWEZA kuwa wafuasi wengi wa chama dola ni mambumbu mbu hata kwenya jambo linalohitaji common sense tu.
 
Upewe maandalizi wakati unaelewa dunia inakwendaje?, huoni kama haya maneno yako yanatoa picha ya mtu aliyebweteka asiyejiongeza kwa kila analolifanya?.

TV na Radio kila siku zinatoa taarifa kuhusu ugonjwa, unataka lipite gari mtaani lenye kipaza sauti likielezea corona ni nini na madhara yake ni yapi?.

Tafadhali mkuu mitigator, kujiongeza ni jambo muhimu maishani.
Ingekua suala la njaa na serikali ilielimisha umma kutunza chakula wananchi wakapuzia wakatumia hovyo hapo ungekua na logic kdg kuwatuhumu wananchi kutojiongeza.Hapa tunazungumzia ugonjwa wa mlipuko ambao umeanzia nje ya nchi na umeingia nchini kupitia viwanja vya ndege na maeneo ya mipakani.Sasa sielew unataka wananchi wajiongeze wakafunge mipaka au wakazuie ndege airport?Unataka dola iwavunje mikono?Tunachosema ni serikali kujiandaa kuwapima wageni wote wanaoingia nchini kama wameshindwa kuwazuia kwa sababu za kiuchumi,narudia tena lazima maisha yaendelee kwa serikali kukuza uchumi na wananchi kuongeza kipato hata hvyo hii isingezuia serkali kuchukua tahadhari
 
Huna akili ni poyoyo yaan huwez kutofautisha wajibu wa serkali na mtu mmoja mmoja,hivi unajua social responsibility ya serikal?Inaweza ikawa swali gumu kwako,hivi unajua namna ugonjwa unatvyoingia nchini na mtu mmoja mmoja anawezaje kuuzia bila mkono wa serikali mipakani na uwanja wa ndege? Kweli nimeamini utafiti wa TWAWEZA kuwa wafuasi wengi wa chama dola ni mambumbu mbu hata kwenya jambo linalohitaji common sense tu.
Social responsibility inafanyika kila mwaka, upo afrika mkuu haupo China kwenye facilities za dunia ya kwanza. Unaufahamu lakini upana wa uwezo wa serikali yako au unachoweza ni lawama tu?.

Mbumbumbu ni wewe bila hata ya kufahamu ni mtu wa itikadi gani, elimu inatolewa kila kukicha, ugonjwa ni mgeni na tofauti na magonjwa mengine huwezi mtambua mtu siku ya kwanza tu baada ya kupata virusi.
 
You are simply asystem benefiary. Too many paperwork, zero implementation. Dar commuter transport is just a case to prove how less you have prepared to face the covid-19.

Sent using Jamii Forums mobile app
For your information a meeting is being held between MOH,LATRA and Daladala leadership to look in ways of limiting no of pax on commuter buses.
You guys are idling your time in criticisms any chizi can do this.
 
Ingekua suala la njaa na serikali ilielimisha umma kutunza chakula wananchi wakapuzia wakatumia hovyo hapo ungekua na logic kdg kuwatuhumu wananchi kutojiongeza.Hapa tunazungumzia ugonjwa wa mlipuko ambao umeanzia nje ya nchi na umeingia nchini kupitia viwanja vya ndege na maeneo ya mipakani.Sasa sielew unataka wananchi wajiongeze wakafunge mipaka au wakazuie ndege airport?Unataka dola iwavunje mikono?Tunachosema ni serikali kujiandaa kuwapima wageni wote wanaoingia nchini kama wameshindwa kuwazuia kwa sababu za kiuchumi,narudia tena lazima maisha yaendelee kwa serikali kukuza uchumi na wananchi kuongeza kipato hata hvyo hii isingezuia serkali kuchukua tahadhari
Kwa taarifa yako ni kwamba tangu ugonjwa ulipuke kumekuwa hakuna ndege ya moja kwa moja kutoka nchi moja kuja hapa TZ, watu wamekuwa wakipimwa kutoka nchi moja kwenda katika ile ya pili na wakitoka ya pili wanapimwa tena wanapofika pale uwanja wa ndege.

Kumbuka kuwa kuna kitu kinaitwa incubation period yaani kipindi cha mtu kupata virusi mpaka vikaja kujiendeleza na kuanza kwa ugonjwa kuonekana, hicho ni kipindi cha wiki mbili.

Mgonjwa anaweza kuonekana pale Zurich akitoka US kwamba ni mzima, akaja kuonekana Nairobi kama ni mzima halafu akaanza kuugua baada ya wiki moja akiwa nyumbani kwake Mwanza, Humo njiani wanapolipima joto lake wanamuona ni mzima tu kumbe muda wake wa kuanza kuugua bado haujafika.

Bahati nzuri wale 27 waliopimwa Arusha wote ni wazima, na kadri watakavyokuwa wakipatikana basi kwa hali halisi tuliyonayo ndivyo watakavyokuwa wakitibiwa.
 
Social responsibility inafanyika kila mwaka, upo afrika mkuu haupo China kwenye facilities za dunia ya kwanza. Unaufahamu lakini upana wa uwezo wa serikali yako au unachoweza ni lawama tu?.

Mbumbumbu ni wewe bila hata ya kufahamu ni mtu wa itikadi gani, elimu inatolewa kila kukicha, ugonjwa ni mgeni na tofauti na magonjwa mengine huwezi mtambua mtu siku ya kwanza tu baada ya kupata virusi.
Hata huelew unachosimamia nini unabwabwaja,sina muda tena wa kubishana na wew una kichwa kigumu kama mganga wa kienyeji
 
For your information a meeting is being held between MOH,LATRA and Daladala leadership to look in ways of limiting no of pax on commuter buses.
You guys are idling your time in criticisms any chizi can do this.
Kupinga ni kazi nyepesi sana, wengi humu JF wanaipenda sana hiyo kazi.
 
Hata huelew unachosimamia nini unabwabwaja,sina muda tena wa kubishana na wew una kichwa kigumu kama mganga wa kienyeji
Mimi sibishani na wewe nakueleza uhalisia wa mambo kwamba yapo ambayo unaweza kuilaumu serikali na mengine ni makubwa kulingana na hali halisi ya nchi za Afrika.

Hatupo dunia ya kwanza, hivyo mengi tuna upungufu katika kuweza kupambana nayo.
 
Ukweli mchungu!
masoudkipanya_B93Xerxj6vC.jpeg
 
Mimi sibishani na wewe nakueleza uhalisia wa mambo kwamba yapo ambayo unaweza kuilaumu serikali na mengine ni makubwa kulingana na hali halisi ya nchi za Afrika.

Hatupo dunia ya kwanza, hivyo mengi tuna upungufu katika kuweza kupambana nayo.
Umeona ulivyobumunda,very selfish kwakua unakula kwenye system.Kwa hyo wananchi walaumiwe kwa kutojiongeza kama usemavyo ila serikali isilaumiwe?Sis matanzania ni mabinafsi sana aisee,una haki ya kutoa ushuz huu kwakua utembea kwenye gar ya serikali na kula vya serkal.Aya sawa bumunda kila heri
 
Watu wazima na akili zetu eti tungojee serikali ituambie tutunze chakula ni uzwazwa wa hali ya juu kabisa.
 
Alipaswa kuacha kazi mwenyewe kama majukumu yake ya kazi yanaingiliwa ili lawama zisimkute, Tanzania na Zanzibar kulikuwa na uwezekano wa 100% kutokuwa na mgonjwa hata 1 wa corona kwa tokea ilivyoanzia kule China lakini wapi.

Hivi saivi tunaandika hapa kuna meli ambayo imesheheni watalii na tayari wale watalii wote washafanyiwa vipimo ni Negative lakini kama mtaamini ile meli kila nchi inayokwenda nchi zinakataa ile meli kutia nanga wale watalii washuke.wamebaki baharini wanaelea tu.

Marekani alipokufa yule mgonjwa mmoja (1) waliomba radhi sana kwa raia wao kwamba yule amekufa kwa bahati mbaya sana ingawa walijitahidi sana na wakaahidi hakutatokoea vifo vyengine vya corona lakini wapi siku ya pili yake walikufa 10 na mpaka jana nadhan 28, yule waziri aliyejisifia wana mfumo bora wa kudhibiti yeye mwenyewe sasa anajificha, Juz anaulizwa vipi anasema ni janga dunia sasa kila mtu ajilinde mwenyewe.

Watanzania musijali sana mutapona tu kwa kudura za M/Mungu, dua na sala kwa wingi sana.
US wamekufa 155 mpaka leo hii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata kwenye daladal na mabusi wengezuia maana utakuta wamejazana hatari, kuna utafauti gani na watu walioko shule au kweny mkutano?
Nashauri usafr wa pkpk ungetumika zaidi mijin kuliko mabus.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeona ulivyobumunda,very selfish kwakua unakula kwenye system.Kwa hyo wananchi walaumiwe kwa kutojiongeza kama usemavyo ila serikali isilaumiwe?Sis matanzania ni mabinafsi sana aisee,una haki ya kutoa ushuz huu kwakua utembea kwenye gar ya serikali na kula vya serkal.Aya sawa bumunda kila heri
Kuilaumu serikali ni kujiongezea maumivu ya tumbo yenye kuweza kukuletea kansa baadae, unailaumu serikali halafu kipi kinaongezeka katika mapambano dhidi ya corona?.

Matangazo yanatolewa kila kwenye gazeti kila kwenye kundi la whatsapp, elimu inatolewa kila kukicha bado unaona kuwa lawama ni jambo lenye tija, halafu kwa fikra hizi unajiona mjanja mwenyewe, kiasi cha kutukana watu.
 
Back
Top Bottom