Serikali ya Tanzania haiko serious na coronavirus

Watery

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
2,729
Reaction score
3,511
Njia pekee ya kirusi iki kuingia Tanzania kwa urahisi ni Airport na bandalini

Cha ajabu Tanzania hatuna mfumo kabisa wa kuhakikisha au kupima endapo mtu ni mgonjwa, yani kweli international airport kama ya Nyerere mtu akija kutoka nje ni mnampima temperature na anaingia bila shida
Serious wasafiri kutoka india na nchi nyingine za ashia anakuja na kunawa mikono na mafuta sijui sabuni kana kwamba virus anakaa mikononi tu, na cha ajabu zaidi anaekwambia unawe kavaa musk wakati anaetoka nje ya nchi hajavaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hichi kirusi kama hakijaingia Tanzania kikiingia kitapukutisha sana watu hasa Apa Dar

Af kikubwa ni kuwa wanaopima hawajui nini kinapimwa na ni kama hawajui kuhusu incubation period
Au mnawaonea aibu watu wa mataifa mengine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu atunusuru. Hii dunia ishakuwa ngumu yaani kila siku yanaibuka mambo, sijui itakuwaje 10yrs ijayo. Tutakuwa tunamapambano mengi kweli kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Njia pekee ya kirusi iki kuingia Tanzania kwa urahisi ni Airport na bandalini

Cha ajabu Tanzania hatuna mfumo kabisa wa kuhakikisha au kupima endapo mtu ni mgonjwa, yani kweli international airport kama ya Nyerere mtu akija kutoka nje ni mnampima temperature na anaingia bila shida
Serious wasafiri kutoka india na nchi nyingine za ashia anakuja na kunawa mikono na mafuta sijui sabuni kana kwamba virus anakaa mikononi tu, na cha ajabu zaidi anaekwambia unawe kavaa musk wakati anaetoka nje ya nchi hajavaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hichi kirusi kama hakijaingia Tanzania kikiingia kitapukutisha sana watu hasa Apa Dar

Af kikubwa ni kuwa wanaopima hawajui nini kinapimwa na ni kama hawajui kuhusu incubation period
Au mnawaonea aibu watu wa mataifa mengine

Sent using Jamii Forums mobile app
Umetabiri, kirusi kishaingia siku mingi
 
Some of us have grown wide mouthes due to constant grumbling.
My view is that prior to any criticism, one has to do a bit of analysis over the issue prior to negative criticism.
I happened to have attended a session where an update was given on government preparedness on prevention measures taken on Covid-19 and the following was reported [some of us have even visited some of the fronline areas];
  1. Primary and Secondary screening is done to all arriving passengers to all entry and exit points
  2. Interviews being held for suspect passengers
  3. Health education for all travellers and the general public
  4. Follow-up on all suspect cases
  5. Introduction of Mobile testing facilities to cover most of the country
  6. Introduction of Isolation Centers throughout the country
  7. General sensitization and Personal Protection measure being educated throughout the country
  8. Enforcement in wearing of PPE for all personnel working in international airports and entry/exit border points
  9. A toll-free phone number provided to the general public to call in whenever there is a suspected case;
It is very sad to find a person who is just ranting around complaining over the issue that he has not done any research on.
 
Nchi zote wanafanya hivyo, huwezi pima kila mtu anayetoka nje sio kitu rahisi kama unavyofikiria, wageni wanaoingia kwa siku ni wengi mno huwezi waweka wote quarantine, unaangaliia kuona wapi wametoka kwenye dangerous areas unawaweka au kuzuia watu kuingia moja kwa moja kieleweke. Kipimo cha mtu moja tu ni gharama, utapima watu maelfu wanaoingia Tanzania kila siiku kwa resources zipi?

Hii pandemic ni inevitable itafikia nchi zote tu, vacciine itapatikana watu wanapewa itaisha tutasahau, walinde tu wazee na watu wenye immunity ndogo ndiyo wapo hasa kwenye hatari, wengine mtapata ka mafua tu wiki mbili kataisha mtasahau.
 
Nchi nyingi tu zimefunga mipaka na wanaruhusu kuingia raia wao tu au wenye residence permit, sisi hapa tunaruhusu kila mwenye vi $$$ vyake aingie, tutaumia tu hata tufunge shule, makanisa na misikiti bado ugonjwa utaingia.
 
Tatizo ni kuruhusu watu kutoka nchi vonulable na kujitetea wanapima wote bila kujua vipimo au ugonjwa unavyofanya kazi
Nchi zote wanafanya hivyo, huwezi pima kila mtu anayetoka nje sio kitu rahisi kama unavyofikiria, wageni wanaoingia kwa siku ni wengi mno huwezi waweka wote quarantine, unaangaliia kuona wapi wametoka kwenye dangerous areas unawaweka au kuzuia watu kuingia moja kwa moja kieleweke. Kipimo cha mtu moja tu ni gharama, utapima watu maelfu wanaoingia Tanzania kila siiku kwa resources zipi?

Hii pandemic ni inevitable itafikia nchi zote tu, vacciine itapatikana watu wanapewa itaisha tutasahau, walinde tu wazee na watu wenye immunity ndogo ndiyo wapo hasa kwenye hatari, wengine mtapata ka mafua tu wiki mbili kataisha mtasahau.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama wananchi wenyewe hawako serious basi si ajabu na serkali kutokuwa serious,mtu anaomba kabisa Corona iingie Tz na ianzie magogoni,kama wananchi wanafanya mzaha wa namna hiyo unategemea serikali yenye wananchi wa aina hiyo nayo itakuaje?
 
Back
Top Bottom