Acha kutofikiri. Ummy ana mamlaka ya kufunga viwanja vya ndege. Rais bado anaruhusu watu/wachina wanamiminika over 250 a day. Unakuja kumlaumu Ummy!
Ila kweli huyu mzee haeleweki!Ummy mnamsingizia tu Meko ndio anacontrol kila kitu yule mzeee hana akili hata kidogo usikute yeye ndio anaruhusu mipaka iwe wazi hadi sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ummy mnamsingizia tu Meko ndio anacontrol kila kitu yule mzeee hana akili hata kidogo usikute yeye ndio anaruhusu mipaka iwe wazi hadi sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Si utume herufi ndgUMMY HANA MAMLAKA YA KUFUNGA VIWANJA VYA NDEGE JIWE NDIO kakaa tu pale hamna kiongozi tulibugi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila kweli huyu mzee haeleweki!
Kama wakurugenzi walijitahidi kuwatoa machinga wasifanye biashara holela lakini akawakingia kifua hadi leo miji imechafuka, hakuna pakupita, hata hilo nashindwi kuwakingia kifua "wageni"
Alisikika mnywa pombe fulani akiongea pande za Rubondo
Yaani sijui kwanini naona huyu mama amepambana sana katika hili janga, na anaendelea kujitoa
Kati ya wagonjwa wangapi?
HATA UGONJWA WENYEWE HAUKO SERIOUS NA WATANZANIANjia pekee ya kirusi iki kuingia Tanzania kwa urahisi ni Airport na bandalini
Cha ajabu Tanzania hatuna mfumo kabisa wa kuhakikisha au kupima endapo mtu ni mgonjwa, yani kweli international airport kama ya Nyerere mtu akija kutoka nje ni mnampima temperature na anaingia bila shida
Serious wasafiri kutoka india na nchi nyingine za ashia anakuja na kunawa mikono na mafuta sijui sabuni kana kwamba virus anakaa mikononi tu, na cha ajabu zaidi anaekwambia unawe kavaa musk wakati anaetoka nje ya nchi hajavaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hichi kirusi kama hakijaingia Tanzania kikiingia kitapukutisha sana watu hasa Apa Dar
Af kikubwa ni kuwa wanaopima hawajui nini kinapimwa na ni kama hawajui kuhusu incubation period
Au mnawaonea aibu watu wa mataifa mengine
Sent using Jamii Forums mobile app
YOYOTE ANAWEZA KUWA TARGET KWA GAME INAVYOENDA, HII STORY IME TRIGGER MABEBERU KUONA NJIA NYINGINE YA KUWANYPNYA, NI KAMA ALERT KWA MABEBERU KWAMBA "ALAH KUMBE TUNAWEZA KUTENGENEZA TATIZO KWA KUTUMIA UGONJWA NA TUKAWAVURUGA WAAFRIKA NA TUKAWEZA KUWACONTROL" SO INABI U EXPECT MAJANGA MENGI YA MAGONJWA KUANZIA THIS 2020"Virus vya kutengenezwa hivyo, visikuumize kichwa we pambana kutafuta ridhiki,Target ni mchinese,,Economic war
Sent using Jamii Forums mobile app