Serikali ya Tanzania haiko serious na coronavirus

Serikali ya Tanzania haiko serious na coronavirus

Ku
Siku kadhaa zilizopita kirusi corona kimeingia nchini kwetu kwa uzembe wa kutokufunga viwanja vyetu na hata waziri kutokutoa tamko la kuwaweka karantini ya siku 14 wageni wote wanaokuja kwa gharama zao.

Uganda wamejizatiti sana kujikinga lakini kwetu Tz waziri hataki kuwaweka karantini wageni hao ilihali ndio walioleta na ndio wanaoleta gonjwa la Corona.

Mhe.Rais mfute kazi waziri wa afya maana viatu vimempwaya.

Sent using Jamii Forums mobile app
[/QUO huo utakuwa uonevu , yaani Ummy ndio amewaruhusu wageni kuja nchini ?
 
HATA UGONJWA WENYEWE HAUKO SERIOUS NA WATANZANIA

Sio rahisi Kama unavyofikiria.... Wagonjwa hao 6 Ni kutoka nje ya nchi... Ugonjwa ukisambaa Hadi kwa wale wa uswahili ndio tutatia akili.

Tujiandae na kusiitishwa kwa huduma za usafiri, masoko, benki na zile za kiserikali... Wale wa vikoba wagawane kabisa akiba zao...
 
Alipaswa kuacha kazi mwenyewe kama majukumu yake ya kazi yanaingiliwa ili lawama zisimkute, Tanzania na Zanzibar kulikuwa na uwezekano wa 100% kutokuwa na mgonjwa hata 1 wa corona kwa tokea ilivyoanzia kule China lakini wapi.

Hivi saivi tunaandika hapa kuna meli ambayo imesheheni watalii na tayari wale watalii wote washafanyiwa vipimo ni Negative lakini kama mtaamini ile meli kila nchi inayokwenda nchi zinakataa ile meli kutia nanga wale watalii washuke.wamebaki baharini wanaelea tu.

Marekani alipokufa yule mgonjwa mmoja (1) waliomba radhi sana kwa raia wao kwamba yule amekufa kwa bahati mbaya sana ingawa walijitahidi sana na wakaahidi hakutatokoea vifo vyengine vya corona lakini wapi siku ya pili yake walikufa 10 na mpaka jana nadhan 28, yule waziri aliyejisifia wana mfumo bora wa kudhibiti yeye mwenyewe sasa anajificha, Juz anaulizwa vipi anasema ni janga dunia sasa kila mtu ajilinde mwenyewe.

Watanzania musijali sana mutapona tu kwa kudura za M/Mungu, dua na sala kwa wingi sana.
 
Siku kadhaa zilizopita kirusi corona kimeingia nchini kwetu kwa uzembe wa kutokufunga viwanja vyetu na hata waziri kutokutoa tamko la kuwaweka karantini ya siku 14 wageni wote wanaokuja kwa gharama zao.

Uganda wamejizatiti sana kujikinga lakini kwetu Tz waziri hataki kuwaweka karantini wageni hao ilihali ndio walioleta na ndio wanaoleta gonjwa la Corona.

Mhe.Rais mfute kazi waziri wa afya maana viatu vimempwaya.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unamuonea bure huyu mama,Jiwe hataki wasaidiz wake wafikiri wala kubuni mambo zaidi ya kumsikiliza yey anataka nini!Usishangae anachokifanya ummy ndicho anachotaka Jiwe.
 
Tufunge mipaka kwa kipi? Wanaofunga acha wafunge.
Hatukufunga kwa ajiri ya kipindupindu, na mafua ya ndege sembuse mafua yanayopenda baridi haya!.
 
Leo nimeona taarifa DSM,CCM wamefanya mkutano ambapo diwani alikuwa akipokea mchango wa ujenzi wa shule!Nimewaona wanaCCM wakicheza hadi mziki!
 
Tufunge mipaka kwa kipi? Wanaofunga acha wafunge.
Hatukufunga kwa ajiri ya kipindupindu, na mafua ya ndege sembuse mafua yanayopenda baridi haya!.
Siku serikali ikifunga,utakuja hapa kusifia!Tunawajua mlivyo!
 
Juzi Pale Morogoro Kiyegea Chupu Chupu
Chief Executive Wa TANROAD Waziri Wa Ujenzi
Kufutwa Kazi

Nadhani Muda Siyo Mrefu Sana Umy Awe Tayaro
 
Sisi waafrika (watanzania) umaskini wetu unaanza na lile wazo kwamba serikali inafanya kila kitu kwa ajili yetu kwa kigezo kuwa sisi tumeiweka madarakani na tunalipa kodi.

Mawazo haya ya kimaskini tumekuwa nayo kwa miaka mingi. Kama China wangekuwa na mawazo haya duni wasingejenga zile hospitali ndani ya siku chache tu wangekimbilia kusikiliza hoja za kipuuzi kwamba serikali itajenga.

Mungu kapishia mbali, corona ingeanzia Afrika (Tanzania) tungekufa wengi sana kwa kusikiliza hoja za kipuuzi za kisiasa badala ya kupambana na adui kwa ukubwa alionao.
Acha utetez wa utetez wa kipumbavu,huduma za afya ni wajibu wa serikali.Serikali haijawa sereous kwenye hili suala mathalan ugonjwa unatoka nje hakuna tahadhali yoyote kwenye mipaka wala wala viwanja vya ndege.Hatuna maana shughuri zisimame kwa sababu maisha yaendelee kwa serikali na kwa wananchi.Tungechukulia hili jambo km dharura ikiwa ni pamoja na kuinvest medical checkup kwenye maeneo ya mipakani,ili kudhibiti maambukiz kwa raia wengine.Wakati mataifa makubwa yanahangaika kudhibiti ingetupa somo la kufanya maandalizi,sisi na akina polepole dwarf wa mwili na akili tunapambana kuhakikisha viongozi wa CDM wanafungwa au wanakomeshwa kwa adhabu kubwa ikiwemo kuwavunja mikono.Hakuna namna serikali inaweza kukwepa lawama,ebu fikiria wamesshindwa kudhibiti hata upandaji wa vitu kama sanitizers,wapo busy kutaja idadi ya wagonjwa.
 
Siku kadhaa zilizopita kirusi corona kimeingia nchini kwetu kwa uzembe wa kutokufunga viwanja vyetu na hata waziri kutokutoa tamko la kuwaweka karantini ya siku 14 wageni wote wanaokuja kwa gharama zao.

Uganda wamejizatiti sana kujikinga lakini kwetu Tz waziri hataki kuwaweka karantini wageni hao ilihali ndio walioleta na ndio wanaoleta gonjwa la Corona.

Mhe.Rais mfute kazi waziri wa afya maana viatu vimempwaya.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tamu ya babaa

Inachekacheka tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna sababu luluki za kumtimua Ummy Mwalimu lakini kwa hili Corona ni kama kumtupia mzigo usio wake yeye atakuwa anafuata muongozo wa wataalamu wa afya huko wizarani kama ilivyo kwa mawaziri wote duniani.

Na kama kubadili sio waziri tu safu nzima ya juu ya wizara ya afya ni bogus people kwanza wao ndio tatizo kushinda waziri mwenyewe.
 
Mijitu na korona zao inaingia tu nchini........twafwaaaa

viwanja vyetu vya ndege bado vipo uchii as we're talking ....hatari ....
 
Acha utetez wa utetez wa kipumbavu,huduma za afya ni wajibu wa serikali.Serikali haijawa sereous kwenye hili suala mathalan ugonjwa unatoka nje hakuna tahadhali yoyote kwenye mipaka wala wala viwanja vya ndege.Hatuna maana shughuri zisimame kwa sababu maisha yaendelee kwa serikali na kwa wananchi.Tungechukulia hili jambo km dharura ikiwa ni pamoja na kuinvest medical checkup kwenye maeneo ya mipakani,ili kudhibiti maambukiz kwa raia wengine.Wakati mataifa makubwa yanahangaika kudhibiti ingetupa somo la kufanya maandalizi,sisi na akina polepole dwarf wa mwili na akili tunapambana kuhakikisha viongozi wa CDM wanafungwa au wanakomeshwa kwa adhabu kubwa ikiwemo kuwavunja mikono.Hakuna namna serikali inaweza kukwepa lawama,ebu fikiria wamesshindwa kudhibiti hata upandaji wa vitu kama sanitizers,wapo busy kutaja idadi ya wagonjwa.
Wewe una hasira zako umeamua kuzimalizia katika mada hii. Pole sana kwani unachokiwazia hakifanani na hali halisi.
 
Back
Top Bottom