Serikali ya Rwanda imeapa kutowafukuza Watanzania!

wawafukuze tu kama hawafyata taratibu,,,,,we unataka tufuge majambazi,,,??? kani ulishasikia hao watanzania na wao wanateka magari na wanafanya ujambazi huko kwao???? acha ubwege wewe....kama wewe naye ni mkimbizi au mvamizi wa nchi yetu ya tanzania ondoka au kama wewe naye ni jambazi ondoka nenda kwenu kabla jeshi halijakukamata kama bata
 
Hawa siyo wahamiaji haramu, sheria za uhamiaji ndio haramu.Ndio maana tunajenga EA moja tuishi kama babu zetu kabla kuvurugwa na mipaka ya wakoloni.
nina aliwapa kibali cha kuishi Tz na kama wana vibali vya kuishi wavitoa tuone warudi kwao wahamiaji haramu hao na wewe ni mmoja wapo utarudi tu kwenu rwanda.
 
Kuna mijitu mingine ni mzigo hapa tz kwakwel..kikwete amesema wahamiaji haramu waondoke wenyw.hajasema wanaoishi kihalal yaan wenye vibal.na zaid sana hajataja nchi..sasa kosa la jk ni lip..bas mnaowatetea hao wahamiaj haramu muwachukue mkakae nao makwenu...
 
fazahausi; Mkuu, kiongozi mzuri hawezi kuwaridhisha watu wote kwani tuna perception tofauti hivyo usipate tabu kwani kutofautiana hakuepukiki.
 
Last edited by a moderator:
that is where we differ...maybe let me provide you with some useful info.

First of all many people have been mislead by the media and other organizations that kagame has invaded the congo. That is not true at all. You know that the un mission is based in goma and i am sure that any movement by rwanda going into congo will be in the news in a heartbeat. I have never heard anywhere where it has been proven that rwanda is in congo. M23 is like the wahangaza wa tanzania. If today some tanzanian leader said that i don't want the wahangaza in tanzania because they look like rwandese, where would they go. They have never been in rwanda, they have no relatives in rwanda..or jk tells the wamasaai to go back to kenya...does it make sense? Now the congolese are doing the same...why didn't they do it in the 70s or 80s? Why now that they say that they are not congolese but rwadese? This is what we call xenophobia and it cannot be tolerated.

As for interahamwe is those people who espouse the extermination of an ethnic group. I think you know what extermination is. Wipe out. Do you support that? This ideology is still there among the interahamwe. It will never die. We rwandese we of both tribes live together and work together but it is in tanzania that i read about this tutsi, hutu thing. If you come to rwanda right now and start talking about hutu, tutsi, people will automatically know that you just arrived in the country. It is old ideology. Only those interahamwe that are still amongst you are the one bringing up those comments...askt them to came back to rwanda and they will kill you before they set a foot on rwandan soil. You know why? Because they have blood in their hands and they fear that they will be brought to justice.

The guilty by association that kagame is being charged with is a pack of lies and you know that if he was by any chance guilty of the crimes that he is being accussed of he would be at the hague by now. If you remember, a few years back the french governement opened a case against kagame and a lot of rwandese leaders and one of them rose kabuye, was warned by the german government that if she set a foot on german soil she would be arrested and taken to france for prosecution. You know what happened?

Kagame told her to go. She went, got arrested and was taken to france where the judge after seeing her dismissed the case. You know why it was dismissed? Because they had nothing on kagame. That is what we call courage. So, all those accusations against kagame are from those people have their hidden agenda or don't understand the dynamics and history of rwanda.

tutsi the blood suckers hamna ujirani mwema hata kidogo, kama kawaida yenu mkiwa na shida mnanyenyekea zaidi ya watoto , mkipata ahueni ngebe utafikiri chura! Kagame atavuna alichokipanda shenzi taipu.
 
Mimi nadhani kuna haja ya wanachama wa EAC kukaa chini na kuangalia Chanzo cha tatizo na kulitatua, na si kuachia Wahusika wa tukio kwasababu kuna raia ambao wananyanyasika pasipo sababu za msingi, kwani hawahusiki na hayo matukio wala marumbano, na niwazi kwamba kwa sasa tumechangamana sana kidamu na watu wa rwanda hivyo nisawa na kuwekeana chukuki ndani ya familia zetu
 
Nawatakia safari njema ya nyumbani ndugu zangu wanyarwanda,pia nawapa pole kwa kutengana na wake au waume zenu pamoja wa wanenu,ila nitakapoingiza serikali adilif u madarakani muda mchache ujao nitapigania vibali vya kuishi huku kwetu kisheria.lakini ningependa kuwaarifu wananchi wa pande zote mbili kuwa"hii ndio karata ya mwisho ya ccm kuharibu mawazo ya wananchi wasifikirie tena demokrasia nchini tanzania 2015"kama hamuamini fanyeni uchunguzi wa kina. Onyo...kijeshi hii ni vurugu inayotengenezwa kitaalamu na serikali yenyewe,tushituke wa tz.
 
Unashangaa kuwasilibia waasi?!wakati hapa kwenu wananchi wa kawaida wakiandamana mnauwa.?kagame yuko sawa.hata mtwara ataenda kukaa na kikwete.
 
Serikali haramu,watumishi wake haramu ndio walio ruhusu uhamiaji haramu.kwa taarifa yako 25%ya wabongo wakiwemo watumishi ni raia haramu na ndio wenye vielelezo vya msingi vya utanzania ambavyo hata wewe huna,kutoka kwa viongozi haramu.
 
tutsi the blood suckers hamna ujirani mwema hata kidogo, kama kawaida yenu mkiwa na shida mnanyenyekea zaidi ya watoto , mkipata ahueni ngebe utafikiri chura! Kagame atavuna alichokipanda shenzi taipu.

Akili ndogo haiwezi kutawala akili kubwa. IQ yako is probably less than 50
 
unashangaa kuwasilibia waasi?!wakati hapa kwenu wananchi wa kawaida wakiandamana mnauwa.?kagame yuko sawa.hata mtwara ataenda kukaa na kikwete.

kagame mwenyewe anajiona hayupo sawa na ndio maana ameanza kunyongonyea, wewe ni nani mpaka umsemee asiyoyaamini? Au ndiyo mke wake.
 
huyo mjomba`ko aliingia kihalalia ndo maana hasumbuliwi,kwani hapa wanaondoshwa ni waliongia kihalali...get out of ur box
dnr:MUONEKANE WAJINGA MARA NGAPI...SOMA TU GAZETI LA MWANANCHI LA LEO UJUE UJINGA WA MTANZANIA AUITAJI DEGREE YA UANDISHI WA HABARI....YAANI STUPID STUPID SAMAHANI KWA HILI..AWAJUI WATANZANIA WANGAPI WANASOMA MAGAZETI HAYA NA SUMU WANAYOJAZIA KATI YA WATANZANIA NA WANYARWANDA INAONGEZEKA KIASI GANI...LABDA TU TUWE WAZI AKUNA SHIDA KABISA SHIDA ILIOPO NI UPANUZI WA HEKIMA KATI YA VIONGOZI WETU..NATANGAZA NGUUVU YA UPATANISHO KATI YA MARAIS WETU NA WENYARWANDA KATIKA JINA LA YESU ..BIBLIA INASEMA LAANI ANAEKULAANI KEMEA ANAEKEMEA NA USIMWACHE MCHAWI AISHI MEANS AFE ME SIFIKI UKO ILA WOTE WANACHOCHEA SUMU KATI YA NCHI MBILI NATANGAZA UTENGANISHO KWENYE FAMILIA ZAO KWANZA KATIKA JINA LA YESU NATANGAZA KUTOKUELEWANA KWENYE FAMILIA ZAO KATIKA JINA LA YESU MWISHO NATANGAZA TOBA JUU YAO KWA MANENO MACHAFU NA YAUCHOCHEIZ YOTE WALIOANDIKA NA WANAYOENDELEA KUANDIKA KATIKA JINA LA YESU
 
tutsi the blood suckers hamna ujirani mwema hata kidogo, kama kawaida yenu mkiwa na shida mnanyenyekea zaidi ya watoto , mkipata ahueni ngebe utafikiri chura! Kagame atavuna alichokipanda shenzi taipu.

blood suckers!!! huo wimbo wako ni zilizopendwa. Be creative. Come with something new. Au vocabulary yako inaishia hapo...lol nakuonea huruma sana.
 
Nani anyong'onyee wewe...u wish.

Nyie watutsi mnaong'ang'ania nchi za watu ndo mnanyongonyea. Go back u are not wanted here u killers. The innocent blood you shed will follow you to the end...and it will not spare yr generation and generations till the return of the Messiah
 
blood suckers!!! huo wimbo wako ni zilizopendwa. Be creative. Come with something new. Au vocabulary yako inaishia hapo...lol nakuonea huruma sana.

Jionee huruma wewe usiyetaka kurudi kwenu mnang'ang'ania nchi za watu. Mnachofanya Kongo msitegemee mtakileta hapa kwa sababu that is yr wish and plan. We love to live with people who have human heart but not tutsis
 
wanaorudishwa kwao ni wahamiaji haramu,halali wataendelea kubaki,tusipotoshe。

Ni kweli mkuu M 23 kwa DRC ni wahamiaji haramu waliopelekwa na wabelgiji na wengine wameenda wenyewe juzijuzi na sasa unaona kinavonuka huko DRC...kama si halali kuishi ni vema warudi kwao wahalalishe kukaa kwao Tz. Tusianze kulalama na kusingizia EAC (ambayo Rwanda, Uganda na Kenya) wanaonekana kuisaliti sasa inapofikia maslahi kwao wanaona Tz ndo inakosea...duniani kote ukienda kisivyohalali na ukasema ulikotoka unarudishwa kwenu na masuala ya kutaarifiana ni pale tu gharama za kukurudisha zinapokuwa involved. Na JK hajasema wanyarwanda warudi alisema wahamiaji haramu (humo wamo warundi, waganda, wanyarwanda, wakenya n.k) kwa nini Rwanda tu ndo inung'unike?
 
Nyie watutsi mnaong'ang'ania nchi za watu ndo mnanyongonyea. Go back u are not wanted here u killers. The innocent blood you shed will follow you to the end...and it will not spare yr generation and generations till the return of the Messiah

Nimeishi kigoma najua madhara ya hawa watu whamiaji haramu tusikie hivi hivi hawafai hata kidogo
 
Back
Top Bottom