aminiusiamini
JF-Expert Member
- Aug 25, 2011
- 3,577
- 2,227
mtusi anaweza anapanga kukuua huku anacheka na kulia nawew kama rafiki mkubwa. these are people are cancer and should treated with caution.
Mkuu. Umenena. Kuna mijitu mingine kama akina Rushasha ambayo imegubikwa na chuki binafsi haiko objective hata kidogo. ukisoma comments zao asilimia 99 ni tutsi,tutsi. yaani comments zao haziendani kabisa na kauli mbiu ya hii forum "great thinkers"
Masopakyindi. What is happening now is a result of a president who is moody. You can't have a president who when he wakes up and feels like kicking out an ethnic group does so on a whim. Hamna tofauti kati yake na Iddi Amin ambae siku moja aliamka akasema siwataki wahindi. That is not how a country is run. A country is governed by the rule of law. All these people ambao mnawaita wahamiaji haramu, nenda hapo kwenu Dar es Salaam makao makuu ya Uhamiaji utakuta majina yao na wana resident permits. Woote. So leo hii wamekuwaje wahamiaji haramu? Tell me.
Moody president is kagame who bcoz of his paranoid he threatened HE President Kikwete that he'll hit him! Sasa hivi Mh Kikwete yupo pale Ikulu, mwambieni huyo kagame wenu aende "kum hit" sasa! Afu because yr brain is impared you compare the incidence of idi amini and this one here! You must be sick... sasa naomba uache matusi unijibu maswali yafuatayo kama kweli una akili: 1. Kwa nn hutaki hao wahamiaji haramu kutoka rwanda warudi kwao?
2. Kwann nchi zingine zenye wahamiaji haram hazijalalamika isipokua nyie tu wanyarwanda?
3. Ni kwnn nchi yenu ilitutukana na huyo kagame wenu kumtishia Mh Rais Kikwete kuwa "I'll hit him"?
Khaa!! si ndiyo hapo sasa! Huyu waziri akafie mbele huko :bored:mkuuu hata baa yenyewe lazima uhudumiwe na kaunter au bar maid/bar man
Wewe ndiyo hujafanya hiyo unaoiita research! Tatizo bado lipo kwa polisi ambao wameweka vizuizi vya kukusanyia pesa kutoka kwa madreva! Hunidanganyi kitu unless na wewe ni polisi! Anzia Kizuizi cha Bwanga, Nyampalahala, Runzewe, Nyakanazi na kuendelea! Wako busy kusanya pesa kwani hawakufungulii kizuizi bila kuwapa pesa!
Hizo njia nimezipita sana! Pale Chato na Buseresere vituo vya mafuta ambavyo viko karibu na vituo vilivamiwa mchana kweupe na polisi hawakufanya kitu!! Kwa nature ya mazingira ya kule Kigoma/Kagera ujambazi hauwezi kuisha kwa kuwatimua tu wanaoitwa wahamiaji haramu hata polisi wa ukanda huo wameshageuka watu wa deals tu!! Wanashirikiana na majambazi!
Aendelee kutibu Kigali sisi huku tunawatimua wasije wakafanya yale ya Mashariki mwa DRC kwa kujiita eti Wanyarwanda wenye asili ya TanzaniaNimemsikiliza Vizuri sana WASHA TUZIDI POINT MOJA AMBAYO WATANZANIA WENGI HAWATATAMBUA mwisho wa siku tutaonekana sisi ndo wajinga.
Hata mimi uncle wangu doctor huko Rwanda anasema hukuna tatizo wanaendelea na kazi kama kawaida.
dnr:MUONEKANE WAJINGA MARA NGAPI...SOMA TU GAZETI LA MWANANCHI LA LEO UJUE UJINGA WA MTANZANIA AUITAJI DEGREE YA UANDISHI WA HABARI....YAANI STUPID STUPID SAMAHANI KWA HILI..AWAJUI WATANZANIA WANGAPI WANASOMA MAGAZETI HAYA NA SUMU WANAYOJAZIA KATI YA WATANZANIA NA WANYARWANDA INAONGEZEKA KIASI GANI...LABDA TU TUWE WAZI AKUNA SHIDA KABISA SHIDA ILIOPO NI UPANUZI WA HEKIMA KATI YA VIONGOZI WETU..NATANGAZA NGUUVU YA UPATANISHO KATI YA MARAIS WETU NA WENYARWANDA KATIKA JINA LA YESU ..BIBLIA INASEMA LAANI ANAEKULAANI KEMEA ANAEKEMEA NA USIMWACHE MCHAWI AISHI MEANS AFE ME SIFIKI UKO ILA WOTE WANACHOCHEA SUMU KATI YA NCHI MBILI NATANGAZA UTENGANISHO KWENYE FAMILIA ZAO KWANZA KATIKA JINA LA YESU NATANGAZA KUTOKUELEWANA KWENYE FAMILIA ZAO KATIKA JINA LA YESU MWISHO NATANGAZA TOBA JUU YAO KWA MANENO MACHAFU NA YAUCHOCHEIZ YOTE WALIOANDIKA NA WANAYOENDELEA KUANDIKA KATIKA JINA LA YESU
Ila sheria zinasemaje kuhusu uraia?Vipi kijana aliyezaliwa nchini sasa na miaka zaidi ya 18?Atanyimwa uraia wakati ahta kusoma alisomewa Body ya mikopo, na ana passport tayari?Je harushusiwi wakaribisha wazazi ambao ndio waliingia kiharamu na kumzaa?Hawezi kwenda oa Mnyarwanda mwenzie halfu amtaliki baadae, ahalfu akaoe mwingine halafu mtaliki huku akimwacha raia? Nasikitika sana wakati hawa jamaa wakiaua watu na kupora mali za watanzania, wengi etulipiga sana kelele ,hawa magamba wakasema wakatengeneza kikosi kilichokuw akikiongozwa na yule kamanda wa polisi kipindi kile...sijui waliishia wapi.Sasa CCM wanakuja na approach mbaya tena inayoweza kuwa aborted na UN.CCM walitakiwa kuwa smarter kidogo.Hiliz oezi lifanyike kwa stail ambayo km watabaki wanayarwanda basi ni wale wanaoweza kuwa raia kwa vigezo fulani au ugumu fulani.
kwa uelewa wangu mdogo kuhusu international law ni kwamba unapozaliwa ktk nchi ya ugeni (chi amabayo c yawazazi wako),unatakiwa unapofikisa miaka 18 useme uraia unaotakiwa kufuta ,ama wa wazazi wako ama wa chi uliyozaliwa....sasa swali je hao ambaowamezaliwa hapa na kupta mkopo kutoka bodi ya mikopo walikukana uraia wao?,kweli tuna udhaifu wa kuafauatilia na kujua yupi ni Mtz na yupi c Mtz kak huduma zetu,lkn haliwezi kutufanya tunayamaze tu hata kwa lile tulilio na uwezo nalo
1. Nenda Uhamiaji Dar utakuta majina ya hao wote unaowaita wahamiaji haramu majina yao yako pale kama wakazi halali.
2. Nchi gani nyingine ambazo unasikia zinapokea watu tangu raisi wenu atoe hiyo moody order.
3. Kwa hiyo unakiri kwamba zoezi hili la kuwafukuza watanzania wa kujiandikisha wenye asili ya rwanda ni kutokana na kauli ya kagame sio? Kwa hiyo unakiri kwamba maamuzi ya raisi wenu ni moody sio. umeshasikia obama akiwafukuza raia wa marekani wenye asili ya venezuela baada ya marehemu raisi hugo chavez kumtukana manake alikuwa akimtukana kila siku. huwezi kunipa jibu because you have nothing.
Hivi ulienda shule wewe? Mbona hujibu maswali km ulivyoulizwa badala yke unakua defensive tu? Hugo Chaves (rip) anaingiaje hapa? Pia asante kuniambia "I have nothing"...be blessed!
mtusi anaweza anapanga kukuua huku anacheka na kulia nawew kama rafiki mkubwa. these are people are cancer and should treated with caution.
Asitake Kupotosha umma, huku kwetu tz wanafukuzwa wahamiaji haramu kutoka rwanda, hawafukuzwi raia wote (wakiwemo wema) wa rwanda! so asizungumzie kiujumla , azungumzie km kuna raia haramu wa kitanzania nchini rwanda, wao km nchi watawafanya nn, ukilinganisha na tulichofanya sisi!
Moody president is kagame who bcoz of his paranoid he threatened HE President Kikwete that he'll hit him! Sasa hivi Mh Kikwete yupo pale Ikulu, mwambieni huyo kagame wenu aende "kum hit" sasa! Afu because yr brain is impared you compare the incidence of idi amini and this one here! You must be sick... sasa naomba uache matusi unijibu maswali yafuatayo kama kweli una akili: 1. Kwa nn hutaki hao wahamiaji haramu kutoka rwanda warudi kwao?
2. Kwann nchi zingine zenye wahamiaji haram hazijalalamika isipokua nyie tu wanyarwanda?
3. Ni kwnn nchi yenu ilitutukana na huyo kagame wenu kumtishia Mh Rais Kikwete kuwa "I'll hit him"?
Eti nchi zingine hazikulalamika!sasa hao inawezekana hawajui haki yao kama binadamu,kingine udhaifu wao,kumbuka wanyarwanda sio dhaifu,huwezi kuwanyanyasa wakaekimya,panatakiwa utaratibu wa kiutu wa kuwarudisha makwao,hawa watu walikuja kama wakimbizi miaka ya 50s mkawapokea vizuri mkawasomesha sasa wamegeuka haramu kivipi?