Serikali ya Rwanda imeapa kutowafukuza Watanzania!

Serikali ya Rwanda imeapa kutowafukuza Watanzania!

All these are Blah blah blah!! You all can't convince us why should illegal immigrants not evacuated from our territory. Kwanini tusiwe na maamuzi ya kufanya katika maeneo yetu hata kama mnahatarisha usalama wetu? Tutawaamini vipi watu hawa kama wana lengo zuri na nchi yetu ilhali tumeshajifunza kilichotokea Congo na kibaya zaidi rais wao ameshasema anatulia timing atutandike??

Very good response...ila sasa he will call u interahamwe as he used to call me once I expose their evil schemes....wht they are doing in Kongo is what they're dreaming doing in TZ too....lkn wamechelewa sana!
 
AMA KWELI KIKWEYE NI MWEMA NINGEKUWA MIMI NINGETOA MASAA 12 YU YANATOSHA !! KABISA KWA MPANGAJI ALIYE KUHAMA!!
SISI TUNAOSHI HAPA DAR MGENI KUJA BILA TARIFA LAZIma kichwa kiume so wangepewa masaa 12 tu yalitosha
 
Let them go and be ok in rwanda then! Why are u crying now? Nani kawanyang'anya mali zao? Km hilo limefanyika IT IS NOT RIGHT! Waachwe waondoke na kila kitu chao wakajenge nchi yao. Sasa wewe u dont have any right to tell the URT Govt what to do and how to do it. Hata huko 1300 km alikokwenda ni ndani ya TZ so wewe huna haki ya kumpangia wapi aende. Hao wahamiaji wengine unaowasema hawajaonyesha tabia za ajabu kama nyie watutsi...they are good people who can live peaceful with others.

It jut shows how shallow you are. You have just admitted that the issue sio wahamiaji haramu but naturalized Tanzanians of Rwandese origin. Hata hujui kujenga hoja. Ni chuki zako binafsi ndio zinazokusumbua. Useless fellow. Ooh...and Interahamwe.
 
Why crying.....? I don't find any reason behind a parent who is crying when his/her son/daughter is told to go back to him/her from a person who was giving him /her a voluntary ( not mandatory ) support..! The GOVT of Rwanda should not be CRYING to attract sympathy from International Community instead should be happy with them,welcome and strongly warn them against living in the land of others without proper documentation. By the-way, it has to be noted that the issue here is ILLEGAL IMMIGRANTS which is the case to any other country including Rwanda I don't think if in Rwanda they allow people to just enter and live without proper immigration procedures. What they are doing is nothing than misleading the public by trying to create ernemity between the citizens of Tanzania and their President by saying that they have no problem with Tanzanians but Kikwete himself. IS KIKWETE NOT TANZANIAN...? What pointless argument is this which comes from the so called MINISTER....!

That woman, mushikiwabo (whtever the name is) is shameless! Now, if they are ready to receive and protect their people why is she crying now? Mlilikoroga mlinywe sasa... mliona raha kututukana Watanzania sasa mkubali matokeo
 
Asante sana ndugu yangu Nicolas. Nimekuelewa kilio chako pamoja na kiswahili chako kunielezea wewe ni nani na kwa nini unawatetea kwa mgongo wa chupa. Ila hakuna njia kama wameingia hisivyo halali watarudi kwa amri iliyo halali na sidhani kuna mtu wa kutulaum hapa.
Wape pole ila wambie siku nyingine wajifunze kuingia kihalali na hatutawasumbua

Tatizo si wao wameingia km wengi mnavyoweza danganyika, ila mtawakuta vipi?Sasa km walikuwa miaka 2 iliyopoita na sasa wana uraia km vile walikuja miaka 20 iliyopita, wengine watakuwa tayari wameshaingia ktk program nyingi sana ziwapasazo raia.


Ndio maana siamini sana busara na ubongo wa chama cha mapiinduzi, pamoja na matukio yatakayotokea katikati...Wala siwatetei ila ila ningependa sana busara itumike.Na haki na usalama wa taifa vizingatiwe.Kitu ambacho najua ni almost impossible kwa CCM.Watakuja na story za hovyo sana ktk kufany amamabo kw autashia wa kisiasa.Utasikia siku Miwgulu na Nape wakiongelea hayo.Lazima wachafue hali ya hewa.

Dunia nzima mataifa huondoa watu hawaramnu na wengine wanazidi ingia,australia hadi wamewapa kisiawa fulani nje ya Nchi ambao hakina watu,ila very soon shida itawajia tena.

Sipendi andika haya hapa ila ni wazi wakianza lia ktk jamui aya kimataifa hawa raia, halafu wakaanza uawawa kw ahila na ndugu ili tuonekane tunawaua, kuna uwezekano mataifa mnegi yakawa upande wa Rwanda na hata rwana kupata gia ya kurusha makombora wakidaia kuwaokoa watu wao au wenye asili ya kwao, ambao walihama zamani hata kabla ya uhuru wa Tanganyika...Sijui km tunajau ktk hayo mapori wangapi ni wa jana na ni wangapi wa long time.
 
It jut shows how shallow you are. You have just admitted that the issue sio wahamiaji haramu but naturalized Tanzanians of Rwandese origin. Hata hujui kujenga hoja. Ni chuki zako binafsi ndio zinazokusumbua. Useless fellow. Ooh...and Interahamwe.

Utaimba huo wimbo wako wa "naturalized Tanzanians of rwandese origin" mpaka koo likauke. Sasa km ni wanyarwanda kwnn hamtaki kurudi kwenu? I demand an answer wewe unayejua kujenga hoja! Pia asante kwa matusi yko ila bahati mbaya hayaandikiki usoni..POLE
 
watanzania waliopo rwanda si wamefuata taratibu ndo wakaingia.....hapa hakuna cha kuongea wao waende tu kwao bwana kwani huko kwao kumekuwaje??? si wananchi yao?? watuachie nchi yetu...

Wewe ni kama Kikwete, huna uhakika na unachokiongea! Akili yako imekaa kipunda punda tu! Unajua ni watanzania wangapi wanabaingaiza maisha nchi za jirani? Wakianza na wao timua timua itakuwaje?Kikwete tumeshamzoea: NI MTU WA VISASI!! Tuna shida nyingi kama Watanzania na sidhani kama hao wahamiaji haramu ndiyo wameleta hizo shida!! Only FOOLS CAN BUY IT!!
 
It jut shows how shallow you are. You have just admitted that the issue sio wahamiaji haramu but naturalized Tanzanians of Rwandese origin. Hata hujui kujenga hoja. Ni chuki zako binafsi ndio zinazokusumbua. Useless fellow. Ooh...and Interahamwe.

Tatizo siyo " naturalized Tanzanians of Rwandese origin" hao tumesoma nao tumekwenda nao JKT, tumekwenda nao University na wengi tu tunafanya nao kazi na biashara vizuri sana. Taizo kubwa wengi wenu bado sio wakweli mna usiri sana katika mambo yenu tunalitambua hilo na tunalikubali kwani mtu haachi asili yake. Lakini si vyema kwa Rais ambaye tulikuwa tunamheshimu kama PK kumtukana Rais wetu mkategemea tufurahi hata kama tuna matatizo yetu tuachieni tutayamaliza msimtukane. MWISHO bado tunawapenda sana ndugu zetu ila mwelezeni Raisi wenu kuwa kijapo kiburi ndipo ijapo aibu.
 
Ishu hapa ni wahamiaji haramu wawe wakongo,wanyarwanda,waganda au warundi wote wanashughulikiwa kwanini kelele ziko kwa wanyarwanda?kwa kelele hizi nahisi kuna mpango wa wanyarwanda ambao umetibuliwa.Ifahamike hakuna mhamiaji anafukuzwa ila mhamiaji haramu.Ikumbukwe kuna baadhi ya wahamiaji walishaanza kuhonga na kupata uongozi kuanzia kwenye ngazi ya vijiji huko kigoma,wakawa wanawaleta wenzao.Binafsi naunga mkono zoezi hili,nashauri lisiishie huko bali liwe la nchi nzima.
 
It might be a prospective strategy, Rwanda will take into hostages those Tanzanaia citizens living in Rwanda and use them for negotiations when the war escalated. I'm thinking out loud.
 
Ila sheria zinasemaje kuhusu uraia?Vipi kijana aliyezaliwa nchini sasa na miaka zaidi ya 18?Atanyimwa uraia wakati ahta kusoma alisomewa Body ya mikopo, na ana passport tayari?Je harushusiwi wakaribisha wazazi ambao ndio waliingia kiharamu na kumzaa?Hawezi kwenda oa Mnyarwanda mwenzie halfu amtaliki baadae, ahalfu akaoe mwingine halafu mtaliki huku akimwacha raia?

Nasikitika sana wakati hawa jamaa wakiaua watu na kupora mali za watanzania, wengi etulipiga sana kelele ,hawa magamba wakasema wakatengeneza kikosi kilichokuw akikiongozwa na yule kamanda wa polisi kipindi kile...sijui waliishia wapi.Sasa CCM wanakuja na approach mbaya tena inayoweza kuwa aborted na UN.CCM walitakiwa kuwa smarter kidogo.Hiliz oezi lifanyike kwa stail ambayo km watabaki wanayarwanda basi ni wale wanaoweza kuwa raia kwa vigezo fulani au ugumu fulani.

Ukifika miaka 18 unatakiwa kukanusha Urania wa mzazi, otherwise unabaki na Urania wa mzazi wako.
 
Hawajafukuzwa JK kasema wafuate utaratibu na kama waliingia kinyemela bado wafuate utaratibu ndio utawala wa sheria ulivyo, na kama wameshindwa warudi kwao na ikiwa kuna watanzania waliojipenyeza huko Rwanda kinyume na sheria basi nao wafuate utaratibu wakishindwa warudi haraka Tanzania. Jamani someni kanuni vizuri za Jumuia ya Africa Mashariki (EAC). Bado hakuna kanuni inayofuta utaratibu wa uraia katika nchi husika.
 
Ukifika miaka 18 unatakiwa kukanusha Urania wa mzazi, otherwise unabaki na Urania wa mzazi wako.

well, wataweza dai hiyo haki pia...kwa wapewe hiyo haki y akuukana uraia wa rwanda..sasa sijui wangapi awatadaia hiyo haki na watakuw wazalendo
 
Majuto mjukuu, wamekumbuka shuka kumekucha. Imewabidi kutumia lugha ya kupoza, ingawa mwishoni wamesiliba kuwa watawapinga FDRL na wanaowaunga mkono kwa nguvu zote. Nadhani wamemaanisha J.K

Too late, no retreat!

Mkuu, JK alikurupuka.. Huwezi kumshauri,Kagame akutane na Genge la wauaji then waongee.. Hiyo ni dhihaka..
 
Jokakuu i'm one not to throw insult to tanzania. Only to Rushasha because from my experience, he is probably a rwandese with interahamwe traits or interahamwe. What you don't know is that there are many interahamwe there in tanzania. Not as many as in Congo but they are there and unlike the tutsi, these you cannot pinpoint them but they are there amongst you. They have seized these recent spats between Rwanda and Tanzania and they want to take advantage of this to attack Rwanda. What I can assure Rushasha and Co. is the that will never happen again. NEVER.
MURUtungore,

..but to an average Tanzania do u really think there is a difference btn Interahamwe and the current administration in Rwanda??

..to be honest with you, sometimes I feel Kagame,his henchmen in the RPA, and their proxies in the DRC, are worse than Interahamwe.

..lets just look at the numbers. Interahamwe killed 1 million innocent Tutsis, while Kagame, RPA, and their proxies, killed 3 million innocent Congolese.

..I dont think "Interahamwes" can be found only among Hutus. You can be a Tutsi but an "Interahamwe", like Kagame. Also if u support Kagame and the violence he has exported to the ppl of Congo, then u are a genocidaire.



cc rushasha, Kobello, Jasusi, Mzee Mwanakijiji, Nguruvi3, meningitis, adolay, Ogah
 
Mkuu, JK alikurupuka.. Huwezi kumshauri,Kagame akutane na Genge la wauaji then waongee.. Hiyo ni dhihaka..

Kagame mwenyewe ni muuaji. Anachofanya huko DRC ni nini? RPF chini ya kagame haina tofauti na hao fdrl. Ila kwa sababu watutsi ni wabaguzi wanataka kutumia genocide waliyoisababisha wao kama sababu ya kuteketeza wahutu wote ili wabaki wao wenyewe.
 
MURUtungore,

..but to an average Tanzania do u really think there is a difference btn Interahamwe and the current administration in Rwanda??

..to be honest with you, sometimes I feel Kagame,his henchmen in the RPA, and their proxies in the DRC, are worse than Interahamwe.

..lets just look at the numbers. Interahamwe killed 1 million innocent Tutsis, while Kagame, RPA, and their proxies, killed 3 million innocent Congolese.

..I dont think "Interahamwes" can be found only among Hutus. You can be a Tutsi but an "Interahamwe", like Kagame. Also if u support Kagame and the violence he has exported to the ppl of Congo, then u are a genocidaire.



cc rushasha, Kobello, Jasusi, Mzee Mwanakijiji, Nguruvi3, meningitis, adolay, Ogah

Thanks foe this peace of info. The number of people killed by Kagame and coy is now more than 3million...by the way, those 1million (sometymz 0.8million) people claimed to be killed during genocide in rwanda majority are hutus killed by rpa!
 
Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Rwanda amesema kamwe hawatawafukuza Watanzania wanaoingia na kutoka nchini Rwanda kwa shughuli mbalimbali kwani tupo ndani ya shirikisho la Afrika Mashariki na hata kihistoria Rwanda haijawahi kuwa na tatizo na Tanzania.

Akizungumzia sakata la wahamiaji haramu wa Kinyarwanda kufukuzwa na serikali ya Tanzania amesema, kila nchi inayo mamlaka ya kufanya vile inafaa lakini ingekuwa vizuri Tanzania ingewasiliana na Rwanda ili kujua wataondokaje na kupokelewa vipi.

Amesisitiza, "Kwa kuwa wenzetu wameamua kufanya hivyo, tupo tayari kuwapokea wananchi wetu" Lakini pia, Waziri huyo amesema waasi wa FDRL ni kikundi cha wauaji wanaojipanga kuangamiza watu fulani nchini Rwanda hivyo wanatakiwa kupingwa kwa nguvu zote badala ya kuwatambua na kuzungumza nao kama kundi halali na lenye nia njema.

Naye Mtanzania Mohammed, amependekeza Rais Kagame na Kikwete wakutane na kufikia suluhu.Pia baadhi ya Wanyarwanda wamelalamikia kutokutendewa haki kwa kutenganishwa na wake,waume, n.k

DW - Kiswahili
wanyarwanda msitake kujificha nyuma ya east africa integration kuendeleza uovu wenu. na nikuambieni acheni propaganda za kitoto. kwahiyo nyie mliwatuma waje tanzania waolewe au kuolewa halafu wakifukuzwa muanze kusema ndo msingi wa laana . laana kutoka kwa wakimbizi waliokuja kuhemea hapa. wekeni spidi gavana kwenye viuno vyenu mmezidi idadi na uwezo wa ardhi mliyo nayo. jeuri yenu na matusi hatuyavumilia kupitia east african integration. please restrain yourselves from using abusive language against. and let me tell you that you can not separate JKIKWETE FROM TANZANIA. HIS POSITION IS VERY CLEAR
 
MURUtungore,

..but to an average Tanzania do u really think there is a difference btn Interahamwe and the current administration in Rwanda??

..to be honest with you, sometimes I feel Kagame,his henchmen in the RPA, and their proxies in the DRC, are worse than Interahamwe.

..lets just look at the numbers. Interahamwe killed 1 million innocent Tutsis, while Kagame, RPA, and their proxies, killed 3 million innocent Congolese.

..I dont think "Interahamwes" can be found only among Hutus. You can be a Tutsi but an "Interahamwe", like Kagame. Also if u support Kagame and the violence he has exported to the ppl of Congo, then u are a genocidaire.



cc rushasha, Kobello, Jasusi, Mzee Mwanakijiji, Nguruvi3, meningitis, adolay, Ogah


That is where we differ...maybe let me provide you with some useful info.

First of all many people have been mislead by the media and other organizations that Kagame has invaded the Congo. That is not true at all. You know that the UN mission is based in Goma and I am sure that any movement by Rwanda going into Congo will be in the news in a heartbeat. I have never heard anywhere where it has been proven that rwanda is in Congo. M23 is like the Wahangaza wa Tanzania. If today some Tanzanian leader said that I don't want the Wahangaza in Tanzania because they look like Rwandese, where would they go. They have never been in Rwanda, they have no relatives in Rwanda..or JK tells the Wamasaai to go back to Kenya...does it make sense? Now the congolese are doing the same...why didn't they do it in the 70s or 80s? Why now that they say that they are not Congolese but Rwadese? This is what we call xenophobia and it cannot be tolerated.

As for interahamwe is those people who espouse the extermination of an ethnic group. I think you know what extermination is. Wipe out. Do you support that? This ideology is still there among the interahamwe. It will never die. We Rwandese we of both tribes live together and work together but it is in Tanzania that I read about this Tutsi, Hutu thing. If you come to Rwanda right now and start talking about Hutu, Tutsi, people will automatically know that you just arrived in the country. It is old ideology. Only those interahamwe that are still amongst you are the one bringing up those comments...askt them to came back to Rwanda and they will kill you before they set a foot on Rwandan soil. You know why? Because they have blood in their hands and they fear that they will be brought to justice.

The guilty by association that Kagame is being charged with is a pack of lies and you know that if he was by any chance guilty of the crimes that he is being accussed of he would be at the Hague by now. If you remember, a few years back the french governement opened a case against Kagame and a lot of Rwandese leaders and one of them Rose Kabuye, was warned by the German government that if she set a foot on German soil she would be arrested and taken to France for prosecution. You know what happened?

Kagame told her to go. She went, got arrested and was taken to France where the judge after seeing her dismissed the case. You know why it was dismissed? Because they had nothing on Kagame. That is what we call courage. So, all those accusations against Kagame are from those people have their hidden agenda or don't understand the dynamics and history of Rwanda.
 
Back
Top Bottom