Serikali ya Mapinduzi Zanzibar yatangaza Tarehe 19 Oktoba kama siku ya mapumziko, Tarehe 28 imetajwa mapumziko, 29 kuwa siku ya kazi kama kawaida

Matatizo yakukute kwa bahati mbaya, usiyatafute; hamna haja ya kugombea remote control ya TV na mkeo/watoto, toka alfajiri rudi wa manane, watafurahia utawala wa sebuleni, na watakapotakiwa kujibu, mwenye nyumba yuko wapi, hawatakaa wajitokeze, watakupa tu taarifa, kuna watu walikuulizia....utaendelea kuwa mwenye maamuzi ya mwisho kwenye himaya yako na jamii itaheshimu hivyo.
 
Oooh, sasa kwanini mliwaondosha maarabu wakati bado mwawapenda?

Au mnataka waje watengeneze tena maarabu koko waliopo hawatoshi?
Ya ngoswe muwachie ngoswe hata nyie bado mnatawaliwa na mkoloni mweusi
 
Mkoloni mweusi kutoka taifa gani?
Nachojua sisi (Tanganyika) koloni letu ni Zanzibar
Mkoloni wenu Ccm,si tushawakataa ccm basi mwatupora tu ushindi na walahi mwaka huu hatukubali shehe wangu
 
Matatizo yakukute kwa bahati mbaya, usiyatafute; hamna haja ya kugombea remote control ya TV na mkeo/watoto, toka alfajiri rudi wa manane, watafurahia utawala wa sebuleni, na watakapotakiwa kujibu, mwenye nyumba yuko wapi, hawatakaa wajitokeze, watakupa tu taarifa, kuna watu walikuulizia....utaendelea kuwa mwenye maamuzi ya mwisho kwenye himaya yako na jamii itaheshimu hivyo.
Mkuu embu tengua kitendawili chako mwenyewe!

Baba na familia yake kugombea remote ya tv inakujaje kwenye mtiririko wa taarifa za mapumziko ya sherehe za kitaifa na upigaji wa kura?
 
Back
Top Bottom