Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar yawa ombaomba

mshumbusi

JF-Expert Member
Oct 24, 2011
457
250
Habari wana javi
Leo imetapakaa barua ya kuomba msaada wa kifedha kukamilisha sikuku ya mapinduzi ya Zanzibar

eb70eea2ea47282720738fc8447fa91e.jpg
 

Lambardi

JF-Expert Member
Feb 7, 2008
12,330
2,000
Hali ya kukosa mapato kwa serikali hasa bandarini....hakukuletwa na serikali!!
 

mwasu

JF-Expert Member
Jul 13, 2011
10,188
2,000
walikuwa wanadai uhuru wa nini kama hawawezi kujihudumia? Wapeleke hayo maombi kwa sultan bargash arudi kuwahudumia vizuri.
 

kivava

JF-Expert Member
Apr 2, 2013
5,778
2,000
SI wamuombe'Mtukufu' ambaye alitamba kwa swaga za kishamba kuwa yupo na za la Jecha kwa kila hali?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom