Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar yawa ombaomba

Halafu kuandikwa hivyo haina maana kuwa "ni omba omba" ni ushirikiano Wa kawaida Wa kitaasisi. Gvt inajua private wana mafungu unused
 
Hakuna pesa isiyo kuwa na matumizib
 
sie haja yetu seif asitawale tu basi tutaomba mpaka tisue lakini hatutoi duh hawa jamaa ni shida hata hilo neno mapinduzi ni kechefuchefu tu aah yana mwisho
 
Najuta Kuzaliwa Zanzibar... 😀😀😀
Walijigamba Kuwa Wanahela Za Kurudia Uchaguzi (Billion 7)... 😀😀😀
Wamerudia Uchaguzi hatimae Wanaomba T-shirt..... 😀😀😀
Zanzibar Nchi au Kigenge Cha Walanguzi.????
 
Hicho Kizungu tu! Huyo aliyecomment kwenye hiyo barua itakuwa naye alipelekwa hapo Halotel kwa kimemo.
Ha ha ha huyo ndio best qualified wa Kisonge. Kisonge s A student - Ha ha ha.
 
Back
Top Bottom