Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar yawa ombaomba

Zanzibar ni kirusi kwa bara.
Wakati ule ticha mkuu wa kwanza alikuwa na neno moja zuri sana kwa watu wa aina hii, aliwaita makupe.
 
Malengo ya mapinduzi ni.
Kuondoa ubaguzi.
Elimu bure.
Lakini hayo malengo ya mapinduzi ni kinyume, kumbe ile siku ya kuhubiri ubaguzi tayari
Zenji-620x308.jpg
 
Siamini kama ni kweli maa tshs na kofia 500 x 10,000 =5,000,000, kweli wamekosa hii pesa ambayo hata chakula haitoshi?

hawa watu wanachosha, ameshindwa nini kupanda boti kuja kwa mwenzie amsapoti huenda ana akiba kidogo maana majuzi tu kapokea michango kibao toka kwa wahisani kwa ajili ya wahanga kule kagera,
 
Tatizo nyie watanganyika mnatuharibia Taifa letu kwa kuingilia chaguzi zetu kwa kutumia ukoloni wenu ...Ukoloni Mamboleo
 
Back
Top Bottom