Automata
JF-Expert Member
- Mar 3, 2015
- 3,443
- 4,915
Nice comment.Mwekezaji ambaye leo unamwomba tshirt au fulana kesho utaweza kumdai kodi? Acha wawekezaji watunyanyase wanavyotaka kama mambo yenyewe wanayofanya na serikali ndiyo haya.
Nice comment.Mwekezaji ambaye leo unamwomba tshirt au fulana kesho utaweza kumdai kodi? Acha wawekezaji watunyanyase wanavyotaka kama mambo yenyewe wanayofanya na serikali ndiyo haya.
Kama Serikari ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) hawana uwezo wa kugharamia na washauli waahilishe tu, Wanajipa tabu ya bure ya kuomba omba.Habari wana javi
Leo imetapakaa barua ya kuomba msaada wa kifedha kukamilisha sikuku ya mapinduzi ya Zanzibar
![]()
akili za mchafukuoga na mchamba wima.
Wakafue za mwaka Jana si bado zipo???Habari wana javi
Leo imetapakaa barua ya kuomba msaada wa kifedha kukamilisha sikuku ya mapinduzi ya Zanzibar
![]()
Kwani umeme unalipiwa na serikali au shirika la umeme lenyewee?Kama hawawezi kughalamia birthday ya Mapinduzi ya nchi yao tena kwa kununua kofia na fulana, je wataweza kulipia ghalama za umeme unaotoka Bara.
Mie nawaona kama parasite Tu.
Hawana uwezo wanamtukana mzungu eti gala hawataki msaada wakeKituko cha karne yaani mpaka sikukuu ya kuadhimisha Uhuru wenu kama nchi mnaomba kusaidiwa? Sasa nini maana ya Uhuru....nitatejea kauli ya Trump kitawaliwa tena...
Hawataki pesa za wazunguHali ya kukosa mapato kwa serikali hasa bandarini....hakukuletwa na serikali!!
Jecha kafasili anataka kuzuia hayo maombiMtoa mada, wewe ndo umetafsiri kwenda hicho kiingereza kilichoandikwa kwa mkono?
Jecha asipo futa tutachangiawadau mbali mbali jitokezeni kuchangia msikate tamaa ndio jirani yetu na ndg yetu wa damu huyu
Unaonekana uko mbali na mambo ya Zenji umeme unalipwa na serikaliKwani umeme unalipiwa na serikali au shirika la umeme lenyewee?
Shirika la umeme mkuu linajitegemea. .Unaonekana uko mbali na mambo ya Zenji umeme unalipwa na serikali