Serikali ya Magufuli na usiri wa Master plan ya Dodoma

Hivi kwa nini Magufuli na administration yake hawataki kutuonyesha kwenye tovuti yake masterplan ya jiji la Dodoma na vitongoji vyake?

Na faham kulikuwa na CDA lakini cha ajabu watu wake hawataki kusema projection ya Dodoma in 50 yrs itakuwa na watu wangapi na wamejiandaa vipi kuweka miundombiu mbalimbali na pia kwa nini hawataki kutuonyesha na kupata mawazo ya city and town planners, architects na designers wa huu mji mkuu?

Kuna usiri gani tukajua kuhusu squares and gardens,broad streets (kama zitakuwepo) and public buildings zitakuwa za namna gani? What about flexible accommodations? Je kutakuwa na restrictions za heights kwenye Dodoma CBD? Je watazingatia ujenzi wa kisasa wa eco buildings au watajijengea tuu ma concrete jungle kama Dar? Je Planning system ya Dodoma ikoje na na jukumu hilo wameachiwa akina nani?

Obviously drawing such plans za jiji kubwa kama Dodoma ambalo in my opinion linaweza kuwa na watu si chini ya milioni 20 in 50 years time sasa je tumejiandaa vipi kukabiliana vipi na population growth? Maana mimi naona hata hiyo airport iliyopo inatakiwa I ondolewa pale na ipelekwe at least 20 miles away

Muhim pia je wadau wameshirikishwaje kwenye hii mipango au ndio "mambo ya pay as you go" yaani tutajua mbele kwa mbele?? Mbona hatuoni public consultation kwenye kuendeleza hili jiji? Tatizo ninaloliona Dodoma ni lile lilo posted Dar na arrogant planners kushindwa kawaambia developers what and where they can build. In essence they are in part charged to do so through local plans,which are guidelines for development of the local area. Lakini the drawing up of such plans entails public consultation,enquiries and Govt inspectors na sidhani kama hayo yamefanyika Dodoma.

The bottom line kwanini kuna usiri mkubwa kwenye hili la Dodoma?
Iko jikoni inapikwa.
 
Agenda ya hovyo hii Dodoma haiwezi kuwa jiji kamwe....nani atakaa kwenye vumbi na ukame hivyo
Daresalama ilianza na matope, mchanga, vumbi na mbu. Mengi ya hayo bado yanaendelea, mbona haikuzuia ikulu na maSkyscrappers
 
Hivi kwa nini Magufuli na administration yake hawataki kutuonyesha kwenye tovuti yake masterplan ya jiji la Dodoma na vitongoji vyake?

Na faham kulikuwa na CDA lakini cha ajabu watu wake hawataki kusema projection ya Dodoma in 50 yrs itakuwa na watu wangapi na wamejiandaa vipi kuweka miundombiu mbalimbali na pia kwa nini hawataki kutuonyesha na kupata mawazo ya city and town planners, architects na designers wa huu mji mkuu?

Kuna usiri gani tukajua kuhusu squares and gardens,broad streets (kama zitakuwepo) and public buildings zitakuwa za namna gani? What about flexible accommodations? Je kutakuwa na restrictions za heights kwenye Dodoma CBD? Je watazingatia ujenzi wa kisasa wa eco buildings au watajijengea tuu ma concrete jungle kama Dar? Je Planning system ya Dodoma ikoje na na jukumu hilo wameachiwa akina nani?

Obviously drawing such plans za jiji kubwa kama Dodoma ambalo in my opinion linaweza kuwa na watu si chini ya milioni 20 in 50 years time sasa je tumejiandaa vipi kukabiliana vipi na population growth? Maana mimi naona hata hiyo airport iliyopo inatakiwa I ondolewa pale na ipelekwe at least 20 miles away

Muhim pia je wadau wameshirikishwaje kwenye hii mipango au ndio "mambo ya pay as you go" yaani tutajua mbele kwa mbele?? Mbona hatuoni public consultation kwenye kuendeleza hili jiji? Tatizo ninaloliona Dodoma ni lile lilo posted Dar na arrogant planners kushindwa kawaambia developers what and where they can build. In essence they are in part charged to do so through local plans,which are guidelines for development of the local area. Lakini the drawing up of such plans entails public consultation,enquiries and Govt inspectors na sidhani kama hayo yamefanyika Dodoma.

The bottom line kwanini kuna usiri mkubwa kwenye hili la Dodoma?
Tembelea website ya CDA @ Plan for the New Capital of Tanzania - Introduction
 
Back
Top Bottom