Serikali ya Magufuli na usiri wa Master plan ya Dodoma

calmdowndear

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2011
Posts
605
Reaction score
275
Hivi kwa nini Magufuli na administration yake hawataki kutuonyesha kwenye tovuti yake masterplan ya jiji la Dodoma na vitongoji vyake?

Na faham kulikuwa na CDA lakini cha ajabu watu wake hawataki kusema projection ya Dodoma in 50 yrs itakuwa na watu wangapi na wamejiandaa vipi kuweka miundombiu mbalimbali na pia kwa nini hawataki kutuonyesha na kupata mawazo ya city and town planners, architects na designers wa huu mji mkuu?

Kuna usiri gani tukajua kuhusu squares and gardens,broad streets (kama zitakuwepo) and public buildings zitakuwa za namna gani? What about flexible accommodations? Je kutakuwa na restrictions za heights kwenye Dodoma CBD? Je watazingatia ujenzi wa kisasa wa eco buildings au watajijengea tuu ma concrete jungle kama Dar? Je Planning system ya Dodoma ikoje na na jukumu hilo wameachiwa akina nani?

Obviously drawing such plans za jiji kubwa kama Dodoma ambalo in my opinion linaweza kuwa na watu si chini ya milioni 20 in 50 years time sasa je tumejiandaa vipi kukabiliana vipi na population growth? Maana mimi naona hata hiyo airport iliyopo inatakiwa I ondolewa pale na ipelekwe at least 20 miles away

Muhim pia je wadau wameshirikishwaje kwenye hii mipango au ndio "mambo ya pay as you go" yaani tutajua mbele kwa mbele?? Mbona hatuoni public consultation kwenye kuendeleza hili jiji? Tatizo ninaloliona Dodoma ni lile lilo posted Dar na arrogant planners kushindwa kawaambia developers what and where they can build. In essence they are in part charged to do so through local plans,which are guidelines for development of the local area. Lakini the drawing up of such plans entails public consultation,enquiries and Govt inspectors na sidhani kama hayo yamefanyika Dodoma.

The bottom line kwanini kuna usiri mkubwa kwenye hili la Dodoma?
 
Agenda ya hovyo hii Dodoma haiwezi kuwa jiji kamwe....nani atakaa kwenye vumbi na ukame hivyo
 
vyovyote itakavyokuwa tu kuhama kupisha UKAWA yenye UKUTA ni lazima hakuna namna nyingine
 
Agenda ya hovyo hii Dodoma haiwezi kuwa jiji kamwe....nani atakaa kwenye vumbi na ukame hivyo
Akili zako zina kutu nadhani!! Unasema nani atakaa Dodoma kwenye vumbi na ukame wakati bunge na ofisi kibao za serikali ziko huko miaka nenda rudi!!!
 
Hivi kwa nini Magufuli na administration yake hawataki kutuonyesha kwenye tovuti yake masterplan ya jiji la Dodoma na vitongoji vyake?

Na faham kulikuwa na CDA lakini cha ajabu watu wake hawataki kusema projection ya Dodoma in 50 yrs itakuwa na watu wangapi na wamejiandaa vipi kuweka miundombiu mbalimbali na pia kwa nini hawataki kutuonyesha na kupata mawazo ya city and town planners, architects na designers wa huu mji mkuu?

Kuna usiri gani tukajua kuhusu squares and gardens,broad streets (kama zitakuwepo) and public buildings zitakuwa za namna gani? What about flexible accommodations? Je kutakuwa na restrictions za heights kwenye Dodoma CBD? Je watazingatia ujenzi wa kisasa wa eco buildings au watajijengea tuu ma concrete jungle kama Dar? Je Planning system ya Dodoma ikoje na na jukumu hilo wameachiwa akina nani?

Obviously drawing such plans za jiji kubwa kama Dodoma ambalo in my opinion linaweza kuwa na watu si chini ya milioni 20 in 50 years time sasa je tumejiandaa vipi kukabiliana vipi na population growth? Maana mimi naona hata hiyo airport iliyopo inatakiwa I ondolewa pale na ipelekwe at least 20 miles away

Muhim pia je wadau wameshirikishwaje kwenye hii mipango au ndio "mambo ya pay as you go" yaani tutajua mbele kwa mbele?? Mbona hatuoni public consultation kwenye kuendeleza hili jiji? Tatizo ninaloliona Dodoma ni lile lilo posted Dar na arrogant planners kushindwa kawaambia developers what and where they can build. In essence they are in part charged to do so through local plans,which are guidelines for development of the local area. Lakini the drawing up of such plans entails public consultation,enquiries and Govt inspectors na sidhani kama hayo yamefanyika Dodoma.

The bottom line kwanini kuna usiri mkubwa kwenye hili la Dodoma?
Kila kitu kipo CDA nenda tu pale acha kujitoa ufahamu
 
Agenda ya hovyo hii Dodoma haiwezi kuwa jiji kamwe....nani atakaa kwenye vumbi na ukame hivyo

No, ukame si ishu.

Kuna miji mizuri ya kuvutia huko duniani ktk nchi za wenzetu na location yake ni kwenye pure desert kabisa. Lakini, imebadilishwa na kuonekana kama iko katikati ya misitu ya Amazon au Congo!!

Mleta mada ana hoja ya msingi.....MASTER PLAN ya kuufanya mji/jiji la Dodoma kama makao makuu ya nchi na serikali kuwa the most attractive city in Tanzania despite hicho unachosema ukame na changamoto zingine ambazo kwa mtazamo wangu mimi si za kutisha kivile!!

Sema tu kuwa, kikwazo kikubwa tulichonacho ni tabia ya kiongozi wetu mkuu wa nchi...ya kutopenda ushauri na kutaka mambo yafanyike tu bila kufuata utaratibu maalumu!!

Else, ana kitu kimoja kizuri sana ambacho viongozi wengi huwa hawana. MOYO WA UTHUBUTU. Lakini kuwa na moyo wa kuthubutu kutenda pekee, haitoshi.

Bali huo moyo wa kuthubutu kutenda ni sharti utanguliwe na uende sambamba na TAFAKURI YA UTULIVU, BUSARA na HEKIMA siku zote itawale bila kuathiri sheria na taratibu zinazolinda watu na shughuli zao za kila siku!!
 
Angalizo master plan huwa haitoki tu kwa haraka namna hiyo, miji mingi ukikuta imekosewa na imekuwa haifai ni kwa sababu master plan ilitengenezwa kwa haraka bila ya kuwa na muda au nafasi ya kutosha kuitengeneza taratibu makosa huwa ni mengi sana na badae mnajuta, master plan ya dodoma ilitakiwa miezi 8 au mwaka mzima wakifanyia kazi taratibu maana lazima pawepo na consultation na mahojiano na kupata mawazo ya wengi wakiwemo wa nje ya nchi na ndani ya nchi ili watu wafanya kitu kizuri zaidi na kuangalia walio fanya vizuri huko nje ya nchi. sasa hili wamepewa wiki 2 tu mtanambia kama badae hamjaanza kuvunja majumba ya watu na kuathiri familia nyingi kimamazi sijui.
 
Angalizo master plan huwa haitoki tu kwa haraka namna hiyo, miji mingi ukikuta imekosewa na imekuwa haifai ni kwa sababu master plan ilitengenezwa kwa haraka bila ya kuwa na muda au nafasi ya kutosha kuitengeneza taratibu; makosa huwa ni mengi sana na badae mnajuta, master plan ya dodoma ilitakiwa miezi 8 au mwaka mzima wakifanyia kazi taratibu maana lazima pawepo na consultation na mahojiano na kupata mawazo ya wengi wakiwemo wa nje ya nchi na ndani ya nchi ili watu wafanye kitu kizuri zaidi na kuangalia walio fanya vizuri huko nje ya nchi. sasa hili wamepewa wiki 2 tu mtanambia kama badae hamjaanza kuvunja majumba ya watu na kuathiri familia nyingi kimakazi sijui.
 
Hivi kwa nini Magufuli na administration yake hawataki kutuonyesha kwenye tovuti yake masterplan ya jiji la Dodoma na vitongoji vyake?

Na faham kulikuwa na CDA lakini cha ajabu watu wake hawataki kusema projection ya Dodoma in 50 yrs itakuwa na watu wangapi na wamejiandaa vipi kuweka miundombiu mbalimbali na pia kwa nini hawataki kutuonyesha na kupata mawazo ya city and town planners, architects na designers wa huu mji mkuu?

Kuna usiri gani tukajua kuhusu squares and gardens,broad streets (kama zitakuwepo) and public buildings zitakuwa za namna gani? What about flexible accommodations? Je kutakuwa na restrictions za heights kwenye Dodoma CBD? Je watazingatia ujenzi wa kisasa wa eco buildings au watajijengea tuu ma concrete jungle kama Dar? Je Planning system ya Dodoma ikoje na na jukumu hilo wameachiwa akina nani?

Obviously drawing such plans za jiji kubwa kama Dodoma ambalo in my opinion linaweza kuwa na watu si chini ya milioni 20 in 50 years time sasa je tumejiandaa vipi kukabiliana vipi na population growth? Maana mimi naona hata hiyo airport iliyopo inatakiwa I ondolewa pale na ipelekwe at least 20 miles away

Muhim pia je wadau wameshirikishwaje kwenye hii mipango au ndio "mambo ya pay as you go" yaani tutajua mbele kwa mbele?? Mbona hatuoni public consultation kwenye kuendeleza hili jiji? Tatizo ninaloliona Dodoma ni lile lilo posted Dar na arrogant planners kushindwa kawaambia developers what and where they can build. In essence they are in part charged to do so through local plans,which are guidelines for development of the local area. Lakini the drawing up of such plans entails public consultation,enquiries and Govt inspectors na sidhani kama hayo yamefanyika Dodoma.

The bottom line kwanini kuna usiri mkubwa kwenye hili la Dodoma?

Haya master plan iyo hapo Plan for the New Capital of Tanzania - Introduction
 
Nagoya are Philemon Michael akupe nondo
 
Agenda ya hovyo hii Dodoma haiwezi kuwa jiji kamwe....nani atakaa kwenye vumbi na ukame hivyo
Mbona lissu anakaa ikungi kina vumbi na ukame kama Dom tu? Wenzako wanakimbilia viwanja we unabakia kung'aa macho shauri yako, amka kijana achana na akili mbovu
 
Hivi kuna jiji lolote Tanzania lenye masterplan?
Kama zipo, ni lini ziliwekwa hadharani wananchi wakazitumia?
 
Back
Top Bottom