Ni maendeleo hayo siyo kuandamana na kupiga makelele tu pipooooz! magwanda yananuka jasho.Upuuzi mtupu hayo majengo watanzania yanawasaidia nini kama bei ya chumvi, ya sukari inapanda kila kukicha, kundi la vijana wasio na ajira linaongezeka maradufu. Sio kwamba serikal haijafanya lolote lakini yaliyofanywa hayajafika hata nusu ya yale tuliyoahidiwa mpaka tukawapa kura zetu, hivo ccm wamewataperi wapiga kura.
kweli umedhamiria.Watani chalii kazi kutukana tu