At This Stage We Need To Embark On A U Turn Approach Otherwise Wananchi Wamechoka Na Hayo Mambo.nasikia Sumbawanaga Waandishi Wa Habari Wamehongwa Wasiripoti Matukio Yaliyojiri Kwenye Mikutano Yao Huko.
Nashukuru Mungu Kuwa Watz Sasa Wameamka Tatizo Ni Kuwa Ni Wepesi Wa Kusahau.uchaguzi Ukija Yale Yale.....i Hope This Time We Need To Be Serious For The Sake Of Our Nation.
Time has come for changes, naamini 2010 ndio mwisho wa CCM, kila mtu sasa kwa nafasi yake awaelimishe watu wa karibu yake, hasa huko vijijini, Wapinzani endeleeni kufichua madhambi, sasa hivi watanzania wengi wanawakubali
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.