Ngonjera ya chanjo hata mwimbishaji mwenyewe hana mzuka nayo! Hata ulaya wanaelekea kuachana nayo kimya kimya!!
Ukraine ni moja ya mataifa ambayo kiwango Cha chanjo Kiko chino Sana.
Lakini wakimbizi wake hawaulizwi Cha chanjo Wala Nini!! Wanajua Mambo ya chanjo ilikuwa ni "fix" ya Mwaka!! Desh desh ndio Wal*wao!!