#COVID19 Serikali: Waliopata chanjo ya UVIKO-19 Tanzania ni asilimia 9.81

Ngonjera ya chanjo hata mwimbishaji mwenyewe hana mzuka nayo! Hata ulaya wanaelekea kuachana nayo kimya kimya!!
Ukraine ni moja ya mataifa ambayo kiwango Cha chanjo Kiko chino Sana.

Lakini wakimbizi wake hawaulizwi Cha chanjo Wala Nini!! Wanajua Mambo ya chanjo ilikuwa ni "fix" ya Mwaka!! Desh desh ndio Wal*wao!!
 
Sema Tanzania hakuna mwenye chanjo maana chanjo moja au mbili hazitoshi! Siku hizi ni mwendo wa chanjo nne Kisha unakuwa unagongwa Busta Kila baada ya miezi mitatu! Tz hakuna hata mmoja mwenye Busta!!

Tz tuna natural. Immunity mabeberu waachane na sisi. Mabeberu chanjaneni ninyi kwa ninyi!!
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom