Serikali, Wahubiri hawa wana tofauti gani na waganga wa tiba za asili?

Mitume na manabii wa digitali:Mtume Brudozer...mzee wa upako...Mtume na nabii Geodavie mfalme wa advanced technology the most anointed...Josephat mwingila...Gwajima...Beno malisa..na wengine wengi.

ukifuatilia vizuri mitume na manabii waliokuwepo kabla na baada ya kristo YESU utagundua tofauti kubwa na hawa wa kwetu.
Hawa wa kwetu ni wajasilua mali!

Wanahubiri majibu ya haraka kwa shida mahususi za waumini wao.mf.kupata utajiri katika nchi maskini kama Tanzania ni jambo analopenda kuliskia kila mwenye uhitaji.
Kupata magari,majumba,kupona magonjwa sugu,kukuza biashara nk.
Ni manabii na mitume wachache sana watawaambia "tubuni kwa maana ufalme wa mbinguni umekaribia"
wengi utawasikia "njoo nikusaidie,njoo upate gari,nyumba,mtoto,pesa,cheo,n.k"
ukiwa makini zaidi utagundua miundo mbinu yao ya kufikisha sala na maombi yao imeboreshwa zaidi kuliko ile ya akina Elia Mtishibi na Mtume paulo.wao wanatumia upako wa maji...upepo...nk

Ndugu zangu,MUNGU ni roho nao wamwabuduo imewapasa kumwabudu katika roho.
UMASKINI haukwepeki kwa maji ya upako au maombi ya mitume na manabii.
YESU aliishi na maskini aliwaombea wakapona magonjwa,wakapata chakula nk. lakini hakuwahi kuwaombea utajiri zaidi ya kuwaambia matajiri wauze walivyo navyo wawagawie masikini.alienda mbali zaidi akasema wahurumieni maskini...hadi YESU anaondoka duniani aliacha umaskini upo na hakuahidi kuufuta kwa maji ya upako wala maombi.

Niwasihi watanzania wenzangu kuwa makini na ibada za hawa mitume na manabiii..pimeni kwanza imani zao kiroho..fuatilieni mienendo yao kiimani...maisha yao...mtagundua mengi...zaidi jifunzeni kupitia maandiko marakatifu mjue kweli itawaweka huru.KWA MUNGU HAKUNA DALALI.KILA AMWAMINIYE NA KUMTUMAINIA MUNGU hujifunua kwake.
 
Mkuu,umeeleza vizuri sana kuhusu hawa matapali wa kidini.

Kwa mfano,mzee wa upako, anahubiri huku anapokea hela na ni kiasi gani anapokea yeye ndie anaejua.Sasa huku ni kuhubiri au kufanya biashara?

Hawa si wahubiri bali ni wachumia tumbo tu.
 
Mtu anahubiri huku anapokea hela na ni kiasi gani anapokea majibu ni yake.

Hawa si wahubiri bali ni wachumia tumbo tu.
 
Hivi karibuni serikali iliwapiga marufuku waganga wa tiba za asili ikiwa ni pamoja na kung'oa matangazao yao mitaani kwa kile kilichoitwa ni kupotosha umma na kuhatarisha maisha ya watu.

Kama lengo ni kuondoa upotoshaji na kuepusha wananchi kutapeliwa.Je,serikali hii inaridhika na hiki kinachofanywa na hawa wanaojiita wahubiri/manabii kupitia vituo vya Television?

Ukiangalia maombezi ya hawa watu kwakweli unaweza kupigwa na mshangao mkubwa maana siku hizi wamegeuka kuwa manabii,madaktari,wnamazingaombwe n.k.

Leo nimemuona mmoja anaejiita "prophet"(jina nimelihifadhi), akijitangaza kumsaidi ng'ombe wa mmoja wa waumini wake kupata mimba kwa kumpa chupa yenye mafuta maalumu na tukio hilo kuonyeshwa kwenye tv.

Anyway,inawezekana huyu "prohet" anafanya haya kwa ni njema tu, lakini je, kesho na keshokutwa akiibuka mwingine nae tutamuamini?

Huo ni mfano mmoja tu.Kuna wengine watakwambia umelogwa,ndoa yako ina matatizo kwasababu ya mtu fulani n.k.

Wadau,nafahamu mambo haya ni ya kiimani lakni kweli hizi ndio imani tulizorithi au hii sasa ni transformation ya mambo ya kiimani kwa ajili ya kujipatia kipato na kuhadaa watu?

Serikali,je,kuna tofauti ya waganga wa jadi na baadhi ya hawa wahubiri/manabii wa siku hizi?
ukiwagusa wanajidai unaingilia uhuru wa kuabudu wakati ni matapeli sawa na wale wenye vibao kwenye nguzo za umeme. serikali lazima kuchukua hatua kuwalinda wananchi dhidi ya matapeli wanaotumia dini kujitajirisha. wakati wa kuchukua hatua ni sasa ama tutajuta.
 
Mi nadhani tubadiri sera ya kusajili makanisa.Ili kanisa lisajiliwe sharti liwe na matawi kila mkoa wa Tanzania! Structure yake iwe defined pia liwe la watu sio la askofu fulani au mchungaji fulani
 
Mkuu,umeeleza vizuri sana kuhusu hawa matapali wa kidini.

Kwa mfano,mzee wa upako, anahubiri huku anapokea hela na ni kiasi gani anapokea yeye ndie anaejua.Sasa huku ni kuhubiri au kufanya biashara?

Hawa si wahubiri bali ni wachumia tumbo tu.

Mkuu unataka kuharibu biashara zetu,watu tumewekeza hela zetu makanisani.wale wachungaji ni vibarua tu kama walivyo machinga.Mkuu usituharibie biashara hata we kama una mtaji tafuta frem (sehemu) halafu tafuta vijana wenye uzoefu uwaweke kwenye saiti watakufanyia kazi na inalipa.Achana na biashara nyingine hazilipi
 
Hivi karibuni serikali iliwapiga marufuku waganga wa tiba za asili ikiwa ni pamoja na kung'oa matangazao yao mitaani kwa kile kilichoitwa ni kupotosha umma na kuhatarisha maisha ya watu.

Kama lengo ni kuondoa upotoshaji na kuepusha wananchi kutapeliwa.Je,serikali hii inaridhika na hiki kinachofanywa na hawa wanaojiita wahubiri/manabii kupitia vituo vya Television?

Ukiangalia maombezi ya hawa watu kwakweli unaweza kupigwa na mshangao mkubwa maana siku hizi wamegeuka kuwa manabii,madaktari,wnamazingaombwe n.k.

Leo nimemuona mmoja anaejiita "prophet"(jina nimelihifadhi), akijitangaza kumsaidi ng'ombe wa mmoja wa waumini wake kupata mimba kwa kumpa chupa yenye mafuta maalumu na tukio hilo kuonyeshwa kwenye tv.

Anyway,inawezekana huyu "prohet" anafanya haya kwa ni njema tu, lakini je, kesho na keshokutwa akiibuka mwingine nae tutamuamini?

Huo ni mfano mmoja tu.Kuna wengine watakwambia umelogwa,ndoa yako ina matatizo kwasababu ya mtu fulani n.k.

Wadau,nafahamu mambo haya ni ya kiimani lakni kweli hizi ndio imani tulizorithi au hii sasa ni transformation ya mambo ya kiimani kwa ajili ya kujipatia kipato na kuhadaa watu?

Serikali,je,kuna tofauti ya waganga wa jadi na baadhi ya hawa wahubiri/manabii wa siku hizi?

Mkuu Salary slip, Unabii na injiri ni kwa wale wanaoamini, hawa ndio huguswa moja kwa moja na injiri hiyo na unabii huo. Kwa wale wasioamini wewe subiri hukumu tu. Hayo waachie wenyewe kwani huamini.
 
Yani ningekua na mamlaka haya makanisa ningeyapga marufuku, yanaharb sana watu, yanawafanya watu kushinda makanisan badala ya kufanya kaz, kutwa nzima kuimba tu, halaf waumini wote n kama wameshakufa kimawazo mpaka wanatia huruma
 
Mkuu Salary slip, Unabii na injiri ni kwa wale wanaoamini, hawa ndio huguswa moja kwa moja na injiri hiyo na unabii huo. Kwa wale wasioamini wewe subiri hukumu tu. Hayo waachie wenyewe kwani huamini.
Hata wa Kibwetre nao walikuwa na imani hiyo lakini ona hatima yao na hasara iliyotokea.

Tuwe macho jamani watu wanatafuta ajira na utajiri wa haraka haraka kwa kuwekeza kwenye imani za watu.
 
ukiwagusa wanajidai unaingilia uhuru wa kuabudu wakati ni matapeli sawa na wale wenye vibao kwenye nguzo za umeme. serikali lazima kuchukua hatua kuwalinda wananchi dhidi ya matapeli wanaotumia dini kujitajirisha. wakati wa kuchukua hatua ni sasa ama tutajuta.

Kwanini unawahukumu kuwa matapeli?
 
Mkuu Salary slip, Unabii na injiri ni kwa wale wanaoamini, hawa ndio huguswa moja kwa moja na injiri hiyo na unabii huo. Kwa wale wasioamini wewe subiri hukumu tu. Hayo waachie wenyewe kwani huamini.
Hata wa Kibwetre nao walikuwa na imani hiyo lakini ona hatima yao na hasara iliyotokea.

Tuwe macho jamani watu wanatafuta ajira na utajiri wa haraka haraka kwa kuwekeza kwenye imani za watu.
 
Mwisho wa siku DINI ya kweli itasimama pamoja na kupingwa sana, tena kwa hila na mikakati mbali mbali yenye kufadhiliwa namataifa yenye nguvu kubwa duniani... Hao manabii ni waganga njaa kama wengine tu... Eti na mama Lwakatare nae ni Mtumishi !!! Dah!! Grrrrrrrrrrrrrrrrrrr
 
Biashara hii inalipa maana haina cha TIN wala VAT
 
Mi nadhani tubadiri sera ya kusajili makanisa.Ili kanisa lisajiliwe sharti liwe na matawi kila mkoa wa Tanzania! Structure yake iwe defined pia liwe la watu sio la askofu fulani au mchungaji fulani

Kwa hiyo na Wete Pemba na Kibandamaiti Unguja kuwe na Kanisa ndo uprwe usajili?

Sasa dini zimekuwa vyama vya siasa?

Cha muhim baki njia kuu hao wanaojiita sijui Manabii mara wapakwa mafuta ni Matapeli tu kama kina papamfose, Jackiii Pembaaa na mbulura wengine! Ukishindwa, fanya maombi ya kimoyomoyo usitengemane nao!
 
Mkiwa mnatutajia manabii wa uongo msisahau kututajia na wa ukweli, maana sku hata moja sijasikia mkisema ama kweli huyu ni nabii wa Mungu wa kweli. Mnapiga domo tu wala hamjui mbacho ongea na mambo ya rohoni kwenu ni ujinga mtupu maana hamba hiyo elimu.
 
Nabii wa ukweli katika dunia ya leo utampata wapi?
 
Hata wa Kibwetre nao walikuwa na imani hiyo lakini ona hatima yao na hasara iliyotokea.

Tuwe macho jamani watu wanatafuta ajira na utajiri wa haraka haraka kwa kuwekeza kwenye imani za watu.

Ni kweri wafuasi wa kibwtere walkuwa na imani, lakini mkuu hebu tuangalie vitabu vitakatifu vinasemaje kabla ya kuhukumu tu bila sababu. Wale wafuasi wa Kibwetere walikuwa wajinga kwani hawakuisoma biblia na kumiamini, Biblia inasema hakuna ajuaye siku wala saa ya siku ya mwisho (Mathayo 24:36), kama wangesoma haya maandiko wasingekubalikuchomwa moto. Kuhusu manabii, imeandikwa kuwa, usiamini unabii kama umetoka kwa Mungu mpaka pale utakapotimia (Jeremiah 28:9). Mengine unaweza kwenda kwenye vitabu hivi(Mathayo 7:15; 24:11 na Marck 13:22). Hiyo miujiza isikutishe ila simama na neno!
 
Yesu ndo alikuwa nabii wa mwisho hawa wengine ni makanjanja watafutaji tu kama mimi na wewe
 
Back
Top Bottom