Ally Kombo
JF-Expert Member
- Nov 11, 2010
- 11,429
- 2,645
Mpendwa napenda ujue kuwa ck za mwisho manabii wengi watatokea huku wakifanya miujiza mingi ajabu.ni wapunga pepo hao.
Sisi huku kwetu ukija na kudai wewe ni Nabii ujue utapigwa tu, maana sisi hatuvumilii ujinga !