vyuku
JF-Expert Member
- Mar 30, 2012
- 503
- 85
wakati mwenyekiti Jaji Warioba akikabidhi rasimu ya katiba kwa mh Rais kikwete jana na kuonekana wazi kuwa asilimia kubwa ya wananchi wa Tanzania wakitaka serikali tatu,leo baadhi ya wenyeviti na wajumbe wa NEC walionekana hadharani wakiwahutubia wananchi kuwaambia wakatae serikali tatu,huku wakijitapa kuwa wengi watakao ingia kwenye bunge la katiba ni wabara ambao bado wanataka serikali mbili,ktk hali ya kushangaza bila ya aibu na haya wajumbe hao walionekana waziwazi kupitia taarifa ya habari ya star tv ya leo asbh,mmoja kati yao alisema wazi kuwa sisi wabara tupo wengi bungeni,wakichanganywa wabunge wa visiwani na wawakilishi wao wote zanzibar hawatatufikia,na bado atakaoteua Mh Rais wa taasisi mbali mabali pia wabara ni wengi kuliko wazanzibar,najiuliza kwanini sisi wabara tunaogopa serikali tatu??? kuna nini nyuma ya pazia???