Serikali tatu ni ndoto Tanzania

vyuku

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
501
225
wakati mwenyekiti Jaji Warioba akikabidhi rasimu ya katiba kwa mh Rais kikwete jana na kuonekana wazi kuwa asilimia kubwa ya wananchi wa Tanzania wakitaka serikali tatu,leo baadhi ya wenyeviti na wajumbe wa NEC walionekana hadharani wakiwahutubia wananchi kuwaambia wakatae serikali tatu,huku wakijitapa kuwa wengi watakao ingia kwenye bunge la katiba ni wabara ambao bado wanataka serikali mbili,ktk hali ya kushangaza bila ya aibu na haya wajumbe hao walionekana waziwazi kupitia taarifa ya habari ya star tv ya leo asbh,mmoja kati yao alisema wazi kuwa sisi wabara tupo wengi bungeni,wakichanganywa wabunge wa visiwani na wawakilishi wao wote zanzibar hawatatufikia,na bado atakaoteua Mh Rais wa taasisi mbali mabali pia wabara ni wengi kuliko wazanzibar,najiuliza kwanini sisi wabara tunaogopa serikali tatu??? kuna nini nyuma ya pazia???
 
jogi

JF-Expert Member
Sep 25, 2010
25,614
2,000
Wengi tunataka TANGANYIKA upuuzi wa maccm wasituletee, hatuna cha kufanya na zanzibar bali wenyewe wazanzibar wanacho, lakini hatuko tayari na hatutaki kuwatawala wazanzibar.
 
Kimbori

JF-Expert Member
Feb 21, 2012
4,205
2,000
Nilitarajia watu watatokwa na mapovu. Maslahi ya mtu yakiwa hatarini, mtu anabwatuka tu kama chizi. Je mnakumbuka alivyokuwa anaropoka Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi - CCM?
 
majeshi 1981

JF-Expert Member
Dec 7, 2013
2,093
1,500
wakati mwenyekiti Jaji Warioba akikabidhi rasimu ya katiba kwa mh Rais kikwete jana na kuonekana wazi kuwa asilimia kubwa ya wananchi wa Tanzania wakitaka serikali tatu,leo baadhi ya wenyeviti na wajumbe wa NEC walionekana hadharani wakiwahutubia wananchi kuwaambia wakatae serikali tatu,huku wakijitapa kuwa wengi watakao ingia kwenye bunge la katiba ni wabara ambao bado wanataka serikali mbili,ktk hali ya kushangaza bila ya aibu na haya wajumbe hao walionekana waziwazi kupitia taarifa ya habari ya star tv ya leo asbh,mmoja kati yao alisema wazi kuwa sisi wabara tupo wengi bungeni,wakichanganywa wabunge wa visiwani na wawakilishi wao wote zanzibar hawatatufikia,na bado atakaoteua Mh Rais wa taasisi mbali mabali pia wabara ni wengi kuliko wazanzibar,najiuliza kwanini sisi wabara tunaogopa serikali tatu??? kuna nini nyuma ya pazia???

waanogopa chadema itaongoza srikali zote mbili ya tanganyika na ile ya tanzania
 
omujubi

JF-Expert Member
Dec 6, 2011
4,162
2,000
Uwezekano wa kupata katiba mpya (ya kweli) chini ya utawala wa ccm ni ndoto! Kwa walio serious uweni na subira.
 
zomba

JF-Expert Member
Nov 27, 2007
17,071
0
Wengi tunataka TANGANYIKA upuuzi wa maccm wasituletee, hatuna cha kufanya na zanzibar bali wenyewe wazanzibar wanacho, lakini hatuko tayari na hatutaki kuwatawala wazanzibar.

Warioba mwanachama wa chama kipi?

Inaonesha huwajui hata wabunge G55 aliowataja Warioba kwenye hotuba yake. Hao G55 walianza kudai Serikali tatu zamani sana bungeni.
 
hayaland

JF-Expert Member
May 4, 2012
695
500
ebu na wewe funguka watanzania kwa nini hatupendi kubadilika,unataka kuishi maisha ya miaka 50 nyuma.jitaidi usome historia ujue kuwa kulikuwepo taifa lililoitwa tanganyika.then watanganyika wanataka taifa lao lirudi.acha mawazo ya kizee wewe
 
Lunyungu

JF-Expert Member
Aug 7, 2006
8,863
1,250
Warioba mwanachama wa chama kipi?

Inaonesha huwajui hata wabunge G55 aliowataja Warioba kwenye hotuba yake. Hao G55 walianza kudai Serikali tatu zamani sana bungeni.

Wale G55 walikuwa ma CCM majina si matedo .Wale walikuwa ni Tanzania hasa wenye maono na uelewa .Leo nani ndani ya CCM anaweza kufanya yale ?Nape ? Au mbunge wa Kisimani sijui nani yule , au Wassira ?
 
Prince Hope

JF-Expert Member
Jul 21, 2012
2,159
1,225
Hivi hii Rasimu niliyoisoma jana ndiyo mchakato wake umekula 1Trn ? Mbona kama hakuna value for money? Ni kama wamekopi ile ile ya zamani save for minor additions/omissions?

ni wapi ya zamani imeainisha haki za wanawake? Japo nashauri ibara itamkwe haki ya jinsia sio wanawake!
 
zomba

JF-Expert Member
Nov 27, 2007
17,071
0
Wale G55 walikuwa ma CCM majina si matedo .Wale walikuwa ni Tanzania hasa wenye maono na uelewa .Leo nani ndani ya CCM anaweza kufanya yale ?Nape ? Au mbunge wa Kisimani sijui nani yule , au Wassira ?

Wewe unafikiri CCM ni chama stagnant kama chadema, maamuzi anatoa Mtei ndio basi hakuna kuulizwa hakuna kupingwa.

Nape ana mawazo yake na kila mwana CCM ana mawazo yake na hakuna tatizo katika hilo.

Wale G55 ujuwe Kikwete ndani.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom