ZebraPlus
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 635
- 330
Nilisema zamani humu, Nyerere hakuna moja lenye maana aliloifanyia hii nchi nyinyi mnaniona mbaya. Haya sasa, jibuni.
Nilisema humu siku nyingi sana, wale wa zamani watakumbuka, Nyerere kaiuwa nchi, nikatukanwa, nikasemwa, nikaletewa kila aina ya kejeli. Sasa nawauliza Tangayika ni nani aliyeiuwa?
Mkinijibu mniombe na msamaha, kwa matusi yenu na kwa kuwa nilisema Nyerere alifanya makosa makubwa sana kuiuwa nchi. Leo kiko wapi?
Wale wote wanaomtetea Nyerere leo hii ndiyo wapo mstari wa mbele kuitafuta Tanganyika.
Kulikoni? leo hamtaki kuzienzi fikra na maamuzi ya Nyerere?
kwa mara ya kwanza nasoma maneno mazima yenye logic kutoka kwako. Tafadhali usirejee tena ulikokuwa ni kubaya mno, kunakupotezea haiba na hshima yako mbele ya umma wa JF