Serikali tatu, CCM hoi mpaka UN

Serikali tatu, CCM hoi mpaka UN

Nilisema zamani humu, Nyerere hakuna moja lenye maana aliloifanyia hii nchi nyinyi mnaniona mbaya. Haya sasa, jibuni.

Nilisema humu siku nyingi sana, wale wa zamani watakumbuka, Nyerere kaiuwa nchi, nikatukanwa, nikasemwa, nikaletewa kila aina ya kejeli. Sasa nawauliza Tangayika ni nani aliyeiuwa?

Mkinijibu mniombe na msamaha, kwa matusi yenu na kwa kuwa nilisema Nyerere alifanya makosa makubwa sana kuiuwa nchi. Leo kiko wapi?

Wale wote wanaomtetea Nyerere leo hii ndiyo wapo mstari wa mbele kuitafuta Tanganyika.

Kulikoni? leo hamtaki kuzienzi fikra na maamuzi ya Nyerere?

Mama taratibu usituchanganye,we popo? Maana popo kwa wanyama yupo,kwa ndege yupo,tangu lini mtetezi wa ccm akamkashifu Nyerere hadharani? Au kwa sababu anaitwa Julius?
 
Mama taratibu usituchanganye,we popo? Maana popo kwa wanyama yupo,kwa ndege yupo,tangu lini mtetezi wa ccm akamkashifu Nyerere hadharani? Au kwa sababu anaitwa Julius?

Hiyo kashfa iko wapi? nani aliiuwa Tanganyika?
 
Back
Top Bottom