Serikali: Siku za Kigogo wa Twitter zinahesabika na hana siku nyingi

U
CANARY TRAP strategy ilifanya kazi na hana muda mrefu...

Ila serikali ya Tanzania bado imelala sana, ingebidi itangaze dau waziwazi kama milioni 250 kwa mtu atakaye fanikisha kufanikisha kutoa habari zitakazoweza kumpata kigogo na hakika hata wiki haitaisha anakamatwa mapema...

Hawa washauri wa serikali sijui huwa wanawaza nini?? vichwa vyao viko tupu 100%, na hakika kuna watu wanamjua kigogo fika, sema hawawezi mchoma katika mamlaka husika burebure, hapa serikali iingie BOT ichote fedha iweke mezani tuone kama huyo kigogo atachukua round...

Mbinu za kutumia wadada zilikuwa za zama hizo miaka ya 80 (kwa hii mbinu ni ngumu kumkamata kigogo maana ni mjanja kwelikweli), miaka ya hivi karibuni ni fedha tu inaongea.

Hawaoni wenzao Marekani wanachofanya kwa magaidi wanatangaza dau kubwa, waarabu uvumilivu unawashida wanaishia kuwachoa magaidi waliotikisa dunia...
Unajuaje kama hawajaitumia kimya kimya? Kwani serikali mbalimbali zinapotoa "ransom" huwa zinatangaza? Sana sana husema hadharani kuwa hawawezi Ku "negotiate na kidnappers".
 
Huyu msukuma ameendekeza matusi humu na moderator wanamfumbia macho !!. Kwa nini utukane wenye mawazo tofauti na wewe ?!. Jenga hoja ukubalike .

Kigogo haikwamishi serikali . Waachanenaye wafanye wayapasayo. Haya mambo yapo duniani pote. Kwanza jiulize ni kwanini anapata habari za kweli au hata kama ni za uzushi. Watu ml 50 hawawezi kukupenda wote overnight .
Wewe mjaluo mbona unanifuatafuata? Wewe na Kigogo lenu wote moja lazima tuwanyooshe mwaka huu!!
 
Hapa watahisiwa Watu wengi sana ila ukweli utabaki pale pale kwamba kuna tatizo huko huko Ikulu hadi katika Taasisi Nyeti nchini kwani haiwezekani Jamaa akawa na taarifa mbichi na zenye uhakika kabisa. Kama Kangi anataka Kumpata huyu Mtu aanze huko Ikulu na katika Taasisi ' Nyeti ' kwani atakuwepo huko huko au ni Mstaafu wao lakini anayewajua vyema na ambaye pengine kuna Vifaa ' Maalum ' vya Mawasiliano vilivyopo Ikulu na Kwingineko ambavyo vimewekwa na Yeye anavijua au atakuwa alienda nae Kozi na ameiva vilivyo. Ukimsoma utagundaua ya kwamba ni Mtu mwenye Jeuri, Kiburi halafu anajiamini mno hali ambayo inanifanya niamini kuwa huyu Jamaa ni ' Jasusi Mbobezi ' na ' Hatari ' sana kuwahi kutokea nchini Tanzania.
Umeandika kama kweli vile au ndio 😏😏😏😏😏😏😏😏
 
LUOGA/LUGOLA.
KIGOGO mtego aliotegewa ni ule wa Kuumwa kwa Rais na Kifo.
Pale ndipo alitegwa na amejulikana pale.
We jamaa unajua kutambua mambo

Hata mm niliamini ile Ni drill imefanywa na Kigogo kaingia kambani bila kujua .Kamtandao kake kanakompa taarifa kameingia mtegoni.

Ni vigumu Sana kushindana na Serikali makini
 
Sidhani kwa hawa vijana wetu wakiTZ kama wanaweza hii project baadala yake watacompromise naye tu na kumpa utajiri na mwisho wake watatuambia wamemkamata... Waende pale kwa vijana wa Romania wanaweza kupata msaada kwa bei rahisi, project kama hizi wanaziweza..

Lakini pia inaweza kuwa assignment nzuri kwa graduates wetu wa IT kwenye vyuo vyetu wapewe hiyo deal kwa hata 200mil takwa liwe moja lazima watumie mtandao kumpata sio mbinu nyingine..
 
U
Unajuaje kama hawajaitumia kimya kimya? Kwani serikali mbalimbali zinapotoa "ransom" huwa zinatangaza? Sana sana husema hadharani kuwa hawawezi Ku "negotiate na kidnappers".
Sasa wakiitumia kimya kimya, watu watajua je, kwani dau ndio huwavutia watoa taarifa, mbona USA, yeye huwa ameshaweka dau kwa kila kichwa cha mtu wanae mtafuta? Sasa kidnapping ni tofauti, ndio maana huwa dau linawekwa hadharani, ili kuwavutia wenye habari juu ya huyo anayetafutwa!!!
 
Back
Top Bottom