Bila kufanya ''restructuring'' kubwa kabisa kwenye yenye kuleta maumivu makubwa hasa kwa wanasiasa nchi yetu itazidi kwenda kusikojulikana. Mfumo wetu wa utawala na elimu na namna ya kuwapata viongozi au kuwateua inabidi ibadilishwe kabisa. Siasa na wanasiasa wamejaa kila kona na ndiyo wenye uamuzi na ''utaalam'' wa kila jambo. Mabalozi, wabunge na wateule wengine wanateuliwa kwa kushangaza kila rais anayeingia anaingia na ''timu kula-kula'' yake. Kinachotakiwa ni wanasiasa kupunguzwa kwa idadi na nguvu zao za maamuzi ziwe limited. Hawa waombaji wanaokushangaza hawajuzuka kwa bahati mbaya bali ni matokeo ya mipango mibovu ya kufungua ''vyuo vikuu'' na shule visivyo na sifa ambavyo vilikuwa vinatoa vilaza badala ya wahitimu.Kulingana na ombwe kubwa la ajira kwa vijana wengi serikali iruhusu mfumo wa ajira kuwa tofauti kidogo. Jana TAMISEMI wametoa takwimu kwa waombaji wa nafasi elfu 6 za ualimu kuwa mpaka jana tarehe 22 ni waombaji zaidi ya elf 87.! Hii ni zaidi ya hatari na ni hatari na huko mbeleni wanasiasa watakuja kuona moto usio wa kawaida. Unafanyaje sampling ya watu elfu 6 kutoka kwa watu elfu 87 wenye sifa sawa? afya watu 2700 waliokamilisha maombi mpaka jana 31000 hii ni hatari kwa usalama wa taifa. Serikali ruhusuni halmashauri ziwaajiri hawa vijana nafasi mbalimbali kama vile utendaji wa kijiji, uafsa maendeleo, wataalamu wa tehama, na kada nyingine wanazoweza kuzimudu.
Daaaaah hivi ni kwann wanaopewa kipaumbele ni walim na watu wa afya pekee yao!! Mbona kila kada ina watu kibao tu mitaani huko hawana ajira!Kulingana na ombwe kubwa la ajira kwa vijana wengi serikali iruhusu mfumo wa ajira kuwa tofauti kidogo. Jana TAMISEMI wametoa takwimu kwa waombaji wa nafasi elfu 6 za ualimu kuwa mpaka jana tarehe 22 ni waombaji zaidi ya elf 87.! Hii ni zaidi ya hatari na ni hatari na huko mbeleni wanasiasa watakuja kuona moto usio wa kawaida. Unafanyaje sampling ya watu elfu 6 kutoka kwa watu elfu 87 wenye sifa sawa? afya watu 2700 waliokamilisha maombi mpaka jana 31000 hii ni hatari kwa usalama wa taifa. Serikali ruhusuni halmashauri ziwaajiri hawa vijana nafasi mbalimbali kama vile utendaji wa kijiji, uafsa maendeleo, wataalamu wa tehama, na kada nyingine wanazoweza kuzimudu.
Mkuu huko wengine wameshajiongeza tofauti na wadogo zetu hawa, sijui sababu ni mitaala yao vyuoni ama nini. Angalia hata wanaoathirika na mfumo wa ajira kwa wingi ni sekta hizi mbili ambazo mwajiri wao mkuu ni serikari tofauti na wahandisi, wajiolojia, wahasibu etc.Daaaaah hivi ni kwann wanaopewa kipaumbele ni walim na watu wa afya pekee yao!! Mbona kila kada ina watu kibao tu mitaani huko hawana ajira!
Kumbuka huko pia kuna watu lukuki wamesomea hizo fani wamejazana mtaani!??Bila kufanya ''restructuring'' kubwa kabisa kwenye yenye kuleta maumivu makubwa hasa kwa wanasiasa nchi yetu itazidi kwenda kusikojulikana. Mfumo wetu wa utawala na elimu na namna ya kuwapata viongozi au kuwateua inabidi ibadilishwe kabisa. Siasa na wanasiasa wamejaa kila kona na ndiyo wenye uamuzi na ''utaalam'' wa kila jambo. Mabalozi, wabunge na wateule wengine wanateuliwa kwa kushangaza kila rais anayeingia anaingia na ''timu kula-kula'' yake. Kinachotakiwa ni wanasiasa kupunguzwa kwa idadi na nguvu zao za maamuzi ziwe limited. Hawa waombaji wanaokushangaza hawajuzuka kwa bahati mbaya bali ni matokeo ya mipango mibovu ya kufungua ''vyuo vikuu'' na shule visivyo na sifa ambavyo vilikuwa vinatoa vilaza badala ya wahitimu.
Kulingana na ombwe kubwa la ajira kwa vijana wengi serikali iruhusu mfumo wa ajira kuwa tofauti kidogo. Jana TAMISEMI wametoa takwimu kwa waombaji wa nafasi elfu 6 za ualimu kuwa mpaka jana tarehe 22 ni waombaji zaidi ya elf 87.! Hii ni zaidi ya hatari na ni hatari na huko mbeleni wanasiasa watakuja kuona moto usio wa kawaida. Unafanyaje sampling ya watu elfu 6 kutoka kwa watu elfu 87 wenye sifa sawa? afya watu 2700 waliokamilisha maombi mpaka jana 31000 hii ni hatari kwa usalama wa taifa. Serikali ruhusuni halmashauri ziwaajiri hawa vijana nafasi mbalimbali kama vile utendaji wa kijiji, uafsa maendeleo, wataalamu wa tehama, na kada nyingine wanazoweza kuzimudu.
Ni hatari sana hasa hili suala la Pharmacy au Hospital/Maabara kuajiri watu wasio na ujuzi. Usimamizi wa serikali ni mbovu na wa kizembe hivyo unatoa mwanya kwa wamiliki wa Phamarcies na Hospital binafsi kuweka watu wasio na ujuzi kwa sababu wanataka kuwapa ndugu zao ajira au malipo ni kidogo.Kuna changamoto nyingi sana.
Wakati afya idadi hiyo kubwa wameomba kazi,huku mtaani unakuta kuna watu wameajiri watu wasio na elimu ya afya wala kozi yoyote kwenye maduka ya dawa tena yale makubwa.Wakaguzi wakienda wanaambiwa ni wahasibu.Unakuta famasi moja ina wahasibu feki 6 na mtaalamu mmoja.Wakati mwingine hakuna mtaalamu yoyote ila kuna cheti chake tu.
Kwa elimu najua wengi walio private wameomba hasa baada ya funzo la corona mwaka jana.Taasisi za elimu zilifungwa na kukuta watu wamenyimwa mshahara.Pia dhuluma nyingi huko private na hakuna anayejali.
Naona ipo haja ya kuwepo mjadala mpana juu ya serikali na mamlaka kuhusu suala la ajira
walimu wengine hata hawajui kutype barua ya kuomba ajira kutumia pc sasa na TEHAMA wapi na wapiKulingana na ombwe kubwa la ajira kwa vijana wengi serikali iruhusu mfumo wa ajira kuwa tofauti kidogo. Jana TAMISEMI wametoa takwimu kwa waombaji wa nafasi elfu 6 za ualimu kuwa mpaka jana tarehe 22 ni waombaji zaidi ya elf 87.! Hii ni zaidi ya hatari na ni hatari na huko mbeleni wanasiasa watakuja kuona moto usio wa kawaida. Unafanyaje sampling ya watu elfu 6 kutoka kwa watu elfu 87 wenye sifa sawa? afya watu 2700 waliokamilisha maombi mpaka jana 31000 hii ni hatari kwa usalama wa taifa. Serikali ruhusuni halmashauri ziwaajiri hawa vijana nafasi mbalimbali kama vile utendaji wa kijiji, uafsa maendeleo, wataalamu wa tehama, na kada nyingine wanazoweza kuzimudu.