Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 51,112
- 72,580
Mnasema hii ni Serikali ya wanyonge tumekubali lakin ukienda kupima homa ya ini ni 40000 bila chanjo na chanjo zake pia kila sindano ulipie
Hivi wananchi walivyo maskini wataweza kumudu hii bei ya vipimo na chanjo kwanini msifanye hata 20000 kila kitu
Siwasemei matajiri nasemea maskini wanaohangaika hata pesa ya kula ni shida
Yaan mpaka umalize vyote nadhani inafika 90000 kwelii?
Hii nchi ina rasimali za kutosha lakin hazitunufaishi kwa chochote kila kitu serikali inataka tulipie hata chanjo hiyo si mgefanya bure kama mnawapenda wananchi wenu wanaowaweka madarakani,hamtaki watu waishi wakifurahia maisha pia waepukane na magonjwa.Mnaudhi sana kila kitu ni shida hii
Kuweni na huruma nyie wanasiasa Mungu anawaona nyie kina Umy mwalimu