Serikali, punguzeni bei ya chanjo ya homa ya ini

Serikali, punguzeni bei ya chanjo ya homa ya ini

Tunashukuru punguzeni gharama tukifa kina nani watawapigia kura
Gharama hatupunguzi tunataka pesa zenu ili sisi tulipwe vizuri na ndio maana hatujaiweka hiyo chanjo kwenye bima za afya. tunasisitiza mfyatue watoto vyakutosha illi wawe wapiga kura wetu wa baadae
 
January nilipita hospital moja ya private wanapima kwa 15,000 tu tena mkoani.
 
Chanjo inapatikana kwenye hospital za serikali au hata binafsi? Mkoani ipo au mpaka miji mikubwa?
 
Hospitali zipi huduma hii inatolewa kwa Dar es Salaam
 
Mimi nimewai Pima bure mnazi mmoja Zanzibar chanjo ndio sijawai uliza.Ila hata mimi naona umuhim wa kupata chanjo.wewe ulipatiwa chanjo hospital gan?

Ndio naenda kupatiwa chanjo ijumaa
 
Kila kitu haiwezekani government ndio ifanye. Vingine jiongezeni tu.
Hiyo HipB imekuwapo kitambo, nyie kuijua leo mkapanic isiwe sababu ya kuona government haijali.
Watu wenye virus vya hipB duniani ni 8.5 times ya watu wenye VVU.
Approach zinazofanywa na government na ambazo ni cost effective ni pamoja na kuscreen / kupima wajawazito wote ili kuchukua hatua umuhimu kukinga vichanga, kupima damu kabla ya kuongezewa wagonjwa na kuweka chanjo hizi katika mpango wa taifa wa chanjo kwa watoto chini ya five years ( zile chanjo wanazopata watoto ndani ya miezi mitatu since kuzaliwa ya virus vya homa ya ini sina ya HipB nayo imo).
Government ishafanya pakubwa, wakati ikijiandaa kuleta Mradi msonge kuhusu virus hivyo basi muda huu pambaneni kulipa hicho kidogo ila msiseme hakuna kilichofanyika.
 
Tatizo tukiletewa bure tunaona kama wana faida zao binafsi, kampeni za chanjo hii zimekua nyingi na zinajirudia sana. Hapo Dodoma ni miezi miwili tu iliyopita palifanyika kampeni ya chanjo hii na watu walipata vipimo na chanjo bure katika Hospitali ya Benjamin Mkapa
 
Tatizo tukiletewa bure tunaona kama wana faida zao binafsi, kampeni za chanjo hii zimekua nyingi na zinajirudia sana. Hapo Dodoma ni miezi miwili tu iliyopita palifanyika kampeni ya chanjo hii na watu walipata vipimo na chanjo bure katika Hospitali ya Benjamin Mkapa

Mbona hatusikiagi matangazo jamani
 
Back
Top Bottom