SISI TUKO BUSY NA UNUNUZI WA NDEGE! HOMA YA INI CHANJO SO KIPAUMBAULE CHETUMnasema hii ni Serikali ya wanyonge tumekubali lakin ukienda kupima homa ya ini ni 40000 bila chanjo na chanjo zake pia kila sindano ulipie
Hivi wananchi walivyo maskini wataweza kumudu hii bei ya vipimo na chanjo kwanini msifanye hata 20000 kila kitu
Siwasemei matajiri nasemea maskini wanaohangaika hata pesa ya kula ni shida
Yaan mpaka umalize vyote nadhani inafika 90000 kwelii?
Hii nchi ina rasimali za kutosha lakin hazitunufaishi kwa chochote kila kitu serikali inataka tulipie hata chanjo hiyo si mgefanya bure kama mnawapenda wananchi wenu wanaowaweka madarakani,hamtaki watu waishi wakifurahia maisha pia waepukane na magonjwa.Mnaudhi sana kila kitu ni shida hii
Kuweni na huruma nyie wanasiasa Mungu anawaona nyie kina Umy mwalimu
Wapi huko
Mimi nilipima elfu kumi chanjo elfu kumi kila moja nimebakisha moja january
Vipimo NHIF ina cover, though unaweza lipia kwa 10k.
Chanjo yenyewe hakuna bima,lakini gharama yake ni 10k kwa dozi.
Ingawa sera ya serikali kwa watoto wote ni bure. Ingawa sina uhakika kama kweli wayekeleza kwa watoto.
mkuu sio angalau tukuchangie hela maana usije ukashuka ww kabla ya bei ya chonjo. [emoji23][emoji23]Mi nasubiri bei ishuke
chanjo ya kichaa cha mbwa ndo balaa sindano moja 50000,nenda wodini mkaone wagonjwa wanavyokufa kwa kukosa fedha halafu wao wakiugua mafua wanapanda ndege kwa kodi zetu wanaenda india,utafikiri wao ni malaikaMnasema hii ni Serikali ya wanyonge tumekubali lakin ukienda kupima homa ya ini ni 40000 bila chanjo na chanjo zake pia kila sindano ulipie
Hivi wananchi walivyo maskini wataweza kumudu hii bei ya vipimo na chanjo kwanini msifanye hata 20000 kila kitu
Siwasemei matajiri nasemea maskini wanaohangaika hata pesa ya kula ni shida
Yaan mpaka umalize vyote nadhani inafika 90000 kwelii?
Hii nchi ina rasimali za kutosha lakin hazitunufaishi kwa chochote kila kitu serikali inataka tulipie hata chanjo hiyo si mgefanya bure kama mnawapenda wananchi wenu wanaowaweka madarakani,hamtaki watu waishi wakifurahia maisha pia waepukane na magonjwa.Mnaudhi sana kila kitu ni shida hii
Kuweni na huruma nyie wanasiasa Mungu anawaona nyie kina Umy mwalimu
Mtakuwa mmefanya Jambo la maana aisee, Anza bas kupitisha doneemkuu sio angalau tukuchangie hela maana usije ukashuka ww kabla ya bei ya chonjo. [emoji23][emoji23]
Nadhani hili linahitaji kampeni maalumu kuwaamsha kuwa hizi gharama za dawa dozi laki tano sita milioni ni za watu gani maana ugonjwa hauchaguiGharama sana watu wanakufa kwa kukosa matibabu mazuri,matibabu ilimradi tu sio ya uhakika pia gharama ni kubwa Raisi wa wanyonge hili kaligeuzia shingo
ch
chanjo ya kichaa cha mbwa ndo balaa sindano moja 50000,nenda wodini mkaone wagonjwa wanavyokufa kwa kukosa fedha halafu wao wakiugua mafua wanapanda ndege kwa kodi zetu wanaenda india,utafikiri wao ni malaika