Serikali msiwakomoe wanunuzi wa korosho

Serikali msiwakomoe wanunuzi wa korosho

Hizo zinazoanza na Alpha zote ni kampuni ,dhumuni la kuweka masharti magumu ni kuwakomoa kwanini walikataa kununua korosho kwa bei aliyosema mzee!
Hilo la kununua kwa bei hiyo wanaijua wao lakini mimi nilichosema ni hizo hela kama ziliingia kihalali zitarudi zilikotoka kwani kuna mikataba, huwezi zuia hela ambazo hazijafanya kazi
Haya mengine tutasubiri tu maneno
 
Baada ya manunuzi kukwama makampuni yanahamisha virago kuelekea linapovunwa zao kwa sasa mfano nchi ya Cambodia mwezi ujao korosho inaanza,sasa unapominya mazingira ya kuhamisha viwango vikubwa vya pesa za kigeni wakati kuingia ulikubali sio figisu hizo?
 
Yani fedha iingie bank kwny akaunti halaf iwe ngumu kurudi ilipotoka?..sheria za kibenki zipo kimataifa au nyie madalali wa korosho mnatumia sheria gani
 
Hizo zinazoanza na Alpha zote ni kampuni ,dhumuni la kuweka masharti magumu ni kuwakomoa kwanini walikataa kununua korosho kwa bei aliyosema mzee!
Hizo kampuni zinzoanzia na jina Alpha sio za yule fisadi papa aliyeko chadema?
 
Back
Top Bottom