Suluhu ni kuingia mtaa kufanya maandamano ya kupinga hali ngumu ya kiuchumi, gharama za maisha, kodi na kugandamizwa kisiasa kiasi mnaumia bila kusikilizwa, huku serikali ya chama dola kongwe tawala inasema no serikali sikivu
Kwa wanaofuatilia siasa za Mozambique, hali ni mbaya kwa chama tawala cha Frelimo pamoja na serikali iliyoko madarakani. Baada ya uchaguzi kuisha na serikali kujitangaza kushinda kwa wastani wa asilimia sabini, wananchi wameikata, wakiongozwa na kiongozi wa upinzani Venancio Mondlane...
www.jamiiforums.com
Hakuna sababu ya kuingia mtaani tuanze kukaba masikini wenzetu, wakati tunajua uzi huu lawama zote ni sera mbovu za serikali ya CCM
Tukabiliane na serikali hii moja kwa moja badala ya kutumia njia za kuzunguka kuibiana sisi wenyewe tulio wengi kuliko watawala wachache walafi walioshindwa kuongoza nchi.