Serikali mnalifanyia kazi?

Mr Mayunga

JF-Expert Member
Jun 11, 2011
313
39
Shule binafsi zinaada kubwa mno na hasa ukizingatia uchache wa shule zenyewe.Serikali nyie wenyewe ndio mnasababisha hela inashuka thamani bila yakuikomboa mfano 1$=1750 tzs.Tunahitaji haya ya fanyike
.pangeni ada elekezi kwa shule zisizo chini yenu,itakayokaidi futa usajili.
.ongezeni shule zenu(serikali)
.elimu bora kwenye shule zenu tunaitaka(serikali).
.ukaguzi kwenye shule binafsi tunautaka.
 
Mzee wa Rula

JF-Expert Member
Oct 6, 2010
8,177
3,326
Aliyeshiba hamkumbuki mwenye njaa. Na bado itafika mahali dola itakuwa 1$ = 2500Tshs kama ilivyo £ saizi na watu wa maduka kufanya biashara kwa $ jambo ambalo ni hatari kwa mnunuzi!
 
Mzee

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
13,536
5,642
Naona serikali ipange ada elekezi ktk sector ya Elimu. Kuanzia primary had chuo kikuu. Hii itasaidia mfumuko wa ada.
 
Chatumkali

JF-Expert Member
Sep 9, 2011
2,039
456
Nchi hii kila mtu anafanya kivyake na lwake!ni kama vile nchi haina mwenyewe!,,any way yanamwisho haya.TIME WILL TELL!
 
Bukijo

JF-Expert Member
Jul 28, 2010
208
71
Shule binafsi zinaada kubwa mno na hasa ukizingatia uchache wa shule zenyewe.Serikali nyie wenyewe ndio mnasababisha hela inashuka thamani bila yakuikomboa mfano 1$=1750 tzs.Tunahitaji haya ya fanyike
.pangeni ada elekezi kwa shule zisizo chini yenu,itakayokaidi futa usajili.
.ongezeni shule zenu(serikali)
.elimu bora kwenye shule zenu tunaitaka(serikali).
.ukaguzi kwenye shule binafsi tunautaka.
Hapo penye bold serikali imeshaongeza shule za kutosha tunzaoziita za kata,lakini kichekesho ni kwamba elimu inazid kudorora wamechakuchua shule za msingi,sekondari na sasa wameingilia vyuo vikuu!
Elimu bora Tanzania ni ndoto siasa zimeingilia, kila kitu maneno tu vitendo hakuna.Tanzania tunaongeza kwa elimu za majukwaan hasa pale vingozi wanapowahadaa wananchi,huku wakisifia mafanikio waliyoyafikia kwenye sekta ya elimu.
Bado nasema na nitazidi kusema Elimu bila Utaalamu ni kazi bure kwani sisi Wabongo mara nyingi hufuata kaul mbiu isemayo
"TAALUMA KWANZA UTAALAMU BAADAE"
 
DASA

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
1,031
301
Shule binafsi zinaada kubwa mno na hasa ukizingatia uchache wa shule zenyewe.Serikali nyie wenyewe ndio mnasababisha hela inashuka thamani bila yakuikomboa mfano 1$=1750 tzs.Tunahitaji haya ya fanyike
.pangeni ada elekezi kwa shule zisizo chini yenu,itakayokaidi futa usajili.
.ongezeni shule zenu(serikali)
.elimu bora kwenye shule zenu tunaitaka(serikali).
.ukaguzi kwenye shule binafsi tunautaka.

Waboreshe na maslahi ya walimu amabao wapo shule za serikali.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

1 Reactions
Reply
Top Bottom